Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.

NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hii challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.

Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Sasa huu uzi unatusaidia nini mkuu? sio kila kitu ni cha kuleta humu
 
Afe kipa afe refa nataka nipige mwaka mzima. Nataka niwe karibu na Mungu wangu. Kuna mambo ya muhimu sana nataka kuyakamilisha na yanahitaji utulivu wa hali ya juu bila siteresi, gubu na usumbufu. Hela za kusuka nitakuwa natoa na hata huduma zingine lakini kula mbususu hapana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Ilikuwaje mzee😃😃
 
Kaone! Sijui tu kakoje! 😣

Si jibu umeliona? Na cheko kama lote? Sawa tu lakini haya mambo ni magumu. Kwenye mbususu sijui Mungu Aliweka nini pale dah! 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Hiyo inaitwa gusa unate😃😂😂😂,.
Naskia inakuwaga ngumu kuvuka 21 za mwanzo baada ya hapo mseleleko tu,.

Lakini kwanini kujipa mateso haya bila chuki😃😆
 
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.

NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hii challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.

Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Unakuwa unabana miguu, au unamgeuzia tu mgongo halafu anakuelewa?

Au unatengeneza missunderstand itakayopelekea akununie kisha akuzire kwa miezi yote mitatu, au unafanyafanyaje kufulfil nia yako huku ukiwa ndani ya mahusiano?
 
Mpo level gani
Screenshot_20250630-234312.png
Screenshot_20250630-234325.png
 
Back
Top Bottom