Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ngumu saana ila kaza.. mi nilianza nikakaa siku tatu tu.... Kuna demu nilikuwa namtamani kisee., Akanichek nimtoe ... Balaa likaanzia hapo nimkazie au vip.

Na hadi that time alikuwa ashakula 45elf yangu na nimewinda miezi 6.

Nkavunja.
Hapo cha kufanya mzee baba install app ya iron will uanze kuhesabu siku kwa ustadi na hamasa ya hali ya juu...... huyo ukimla utatamani umle tena na tena unajua shetani nae mjanja sana..... Akigundua tu kuna memba ameanza kuwapoteza anataka awarudishe kwa kasi ya ajabu kama hapo atakuletea mademu wote wakali ambao kwa mtazamo wako uliona hawa huwezi kuwatongoza kwanza ni levo za juu sana kuliko wewe....... Cha pili lifestyle yao ni ya juu mno kufananisha na yako, kwa kifupi uliona kabisa huwawezi.

Lakini sasa hivi shetani kwa kuona memba wake wanazidi kupungua leo atawatuma hao hao mademu uliowaona ni wa levo za juu huwawezi waje wakutongoze wewe na lazima utakubali.

Ndugu kataaa hiyoooooo.

Install Iron Will app.

And then...........#NoFap
 
Kiukweli kama hujaoa au kuolewa, kujizuia na zinaa ni jambo la dharura mno.

Sisi tulio oa tunawaunga mkono, kisha mkimaliza hayo mazoezi kama ni binti uolewe na kama ni wa kiume uoe.

Shukrani.
 
iko hivi, kwa siku za karibuni utateseka sana lakini ikipita miezi kama mi 3 hivi mwili unazoea.
Huna unachojua wewe; ni hivi kama unakula vizuri lazima zitoke wakati wa usiku au hata wakati wa haja ndogo. Tofauti na hapo utakuwa na matatizo kiafya
 
Kiukweli kama hujaoa au kuolewa, kujizuia na zinaa ni jambo la dharura mno.

Sisi tulio oa tunawaunga mkono, kisha mkimaliza hayo mazoezi kama ni binti uolewe na kama ni wa kiume uoe.

Shukrani.
Kweli kabisa ushauri wa maana sana huu mdau
 

Wee endelea tu na challenge, mimi kwa kweli kati yangu na mbususu hakuna wakuingilia.

Yaani nisiwaguse wake zangu kwa sababu za kijinga namna hii. Alafu nikifa minjemba ndo itasimamia ukucha?

Mimi mbususu napiga!
 
Huna unachojua wewe; ni hivi kama unakula vizuri lazima zitoke wakati wa usiku au hata wakati wa haja ndogo. Tofauti na hapo utakuwa na matatizo kiafya
Yani umeshavimbiwa maharage huko unakuja kujamba huku tena jamaa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ukiwa sxhoga halafu huchakati mademu...baada ya miezi kadhaa siunaanza kuota ndoto Za kufanya mapenzi Na kupiga Bao kitandani?
Au miili Yenu haipati hiyo tabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…