Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Challenge mnafanya me na ke kwa wakati mmoja ili kuepusha tafrani.
Tena mnavyojinasibu kuwa nyie mnaweza kukaa hadi mwaka hamjatomb.. ndio tuwaone ushahidi kabisa.
 
Challenge accepted
Ni mwendo wa mazoezi nikiwahi kurud sa2 ndan
Unachuja mpaka unakua mwepesi kama unyoya sio issue
 
🤣🤣🤣 katika vitu naogopa ni kcheza na biology. Inaweza pita miezi mi3 halaf hisia za kuchakata zikakata kabisa ukaanza kuchakatwa wewe sasa 😁😁😁 natania wazee. Mfungo mwema
 
Malcom X aliikuwa mdau mkubwa wa hii kitu aliweza kukaa miaka kama 5 plus bila kushiriki ngono na kufocous kwenye mambo ya msingi ,akawa anatoa madini ya uhakika akili imetulia haina parapara.
 
Mimi kitu ambacho nilijisemea siwezi kuacha ni porno nilikuwa general wa hayo mambo mpk majina ya wakali wangu walikuwa kichwani lkn sasa ni sasa karibia mwaka wa nne sijaingia site wala kuwatch na connection zote zilizo vuma nilipuuza.

Hii kitu kina faida kubwa na inaongeza kujiamini , concentration nk kea kiwango kikubwa . Njia muhimu nilizotumia

1.Kumshikisha Mungu
2.Mazoezi
3.Usomaji wa Vitabu
4.Kujiepusha na vishawishi/Mazingira hatarishi
 
Mkuu nimefanga research mimi mwenyewe zaidi ya miaka 10, nisipo fanya sex mara kwa mara zaidi ya wiki tu hamu ya sex inapungua sana na parfomance inashuka sana.
 
Challenge mnafanya me na ke kwa wakati mmoja ili kuepusha tafrani.
Tena mnavyojinasibu kuwa nyie mnaweza kukaa hadi mwaka hamjatomb.. ndio tuwaone ushahidi kabisa.
Mi labda niwe naumwa.
Mwaka bila mb.. jamani!
Kwanza sijawahi, toka siku nimeanza hii burudani mi sijawahi kukaa mfululizo miezi 6 eti sijafanya.
Wengine sisi hatujawahi kuwa single.
Namaliza kujifungua siku 40 haziishi tunaendelea na kujenga nchi.
Yani sasa ndo nijikute tu naanz tu sa hizi kukaa miezi yote hiyo bila bila?
Nataka kugundua nn?

Mi mtu asiniletee challenge kwenye starehe yangu pendwa, kuna namna tutakuwa tunatafutana la rohoni.
 
Shem atakuwa yupo fit kinoma
 
ehehehheeh yani nawaza eti mama Kayayiiii, nipo kwneye NO FAP challenge.
Hakyamama naweza mng'ata mtu.
Aisome aiache huku huku JF.
Msizungumze masikhara kwenye mambo ya msingi.
Yani bei ya petroli ipande na yeye aseme oh sijui nataka sijui kuwa na afya sijui nimeacha nini.
Hakyanani mjiandae kusoma uzi wenye title "MKE WANGU KANING'ATA CHANZO NI #nofap''
 
Shem atakuwa yupo fit kinoma
He is mashallah!
Not kwamba tunafanya kila siku but me the whole idea mimi nishindwe kujisevia vitu zangu
Sometimes, hata nikiwa katikati ya usiku oh wife nimekuta jf kuna challenge nimejiunga.
Hakiiii ataenda alale ofisi za Jamii Forum
 
He is mashallah!
Not kwamba tunafanya kila siku but me the whole idea mimi nishindwe kujisevia vitu zangu
Sometimes, hata nikiwa katikati ya usiku oh wife nimekuta jf kuna challenge nimejiunga.
Hakiiii ataenda alale ofisi za Jamii Forum
🤣🤣🤣🤣🤣Una maneno weye.
So wee unataka any time unajisevia utamu wako...dah safi sana ukipatake sampuli hii huna shida ya kuchepuka
 
Iseee, wanawake kazi wanayo mwaka huu,
Huku inatoka orodha ya mapunga
Huku inatoka orodha ya waliojiunga Nofap

Kwa kweli kwenye hiyo noFap na mimi niandikeni.
Tuone sasa
 
🤣🤣🤣🤣🤣Una maneno weye.
So wee unataka any time unajisevia utamu wako...dah safi sana ukipatake sampuli hii huna shida ya kuchepuka
we duniani hakuna starehe kama kut...b.na.
Shida za ulimwegu zote hizi bado niongeze na shida ya kuzuia mwili kufanya kazi yake.
Yani watu wanajifanya kama wa wana akili kuliko Mungu.
Asingeweka basi hivi viungo ili huo mwili ujitegenezee hizo stamina sijui confidence.
Yani kila kitu has sababu ya kuwepo mwilini.
Tendo la ndoa ni for creation and recreation.
Sasa huo mwaka sijui wa kutafyta cheo cha 'IMMORTAL' hizi sehemu zinakuwa na kazi gani?
And come to think of it, hata the highest rank unapata cheo cha ''SIO KIUMBE''
Meaning huo mchakato sio wa kibinadamu, why shud we then engage kwenye vitu vivyo vya kibinadamu?
We mi nakwambia mtu atalala makao makuu ya Jamii Forum.
Haki vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…