Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ushatucheat mkuu, ulisema unakitaka cheo Cha immortal
 

Challenge inaugumu wake unakomaa unatulia hayo mambususu yanajileta roho inauma Sana kuona iron will inaanza upya Tena lkn Hakuna kukata tamaa lazima wanaume tukipambanie Kwanza
 
[emoji1787][emoji1787]Muasisi ashaharibu sijui wafuasi huko itakuwaje.
Yani niliteleza man. ila kuanzia tarehe moja june naanza tena rasmi maana naona huu mwezi wa tano umekaa kishetani kweli asee
 
Challenge inaugumu wake unakomaa unatulia hayo mambususu yanajileta roho inauma Sana kuona iron will inaanza upya Tena lkn Hakuna kukata tamaa lazima wanaume tukipambanie Kwanza
Acha tu asee iron will ikianza upya roho inauma sana..... najua hata waliofanikiwa walianza kwa kuanguka kama hivi ila baadae wakasimama... mimi baada ya kuharibu juzi nimeona acha tu huu mwezi uishe ila tarehe moja juni nalianzisha tena.. na hiyo itakuwa ni no mercy mzee..yani nitakaza kweli kweli...
 
Na Mimi nataka nianze hasahasa nataka niache masterbation.lakini imekuwa ngumu kuacha sijui nifanyaje lakini naona kuanzia tarehe 1 niache hii challenge.
 
Ase shule zimefunga tutajionea mengi

Ukimaliza hiyo jiunge 40mil challenge....
Hii unatafuta 40mil capital ndani ya miaka miwili
Sema hiyo mzeebaba si inategemea na kipato chako maana kwa wazee kwa bukubuku kila siku hufikishi huo mzigo ni mnene saana
 
Nakushauri uache kucheki porn/picha chafu ili brain igeuke kuwaza Mambo mengine maana ndio mzizi mkuu.Halafu masterbation ifuate ni mtazamo wangu
Tena hapoa ndiyo pakukazia kweli kweli.... ni mwendo wa kuunfollow page zote zenye wadada mawezele huko instagram..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…