Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabadiliko ni makubwa Sana.Nimeanza leo mzee, hebu kwa miezi hiyo 4 tupe baadhi ya mabadiliko ya kabla na baada ya NoFap.......
Huyo Nikola Tesla pamoja na hayo yote na bado amekufa, yaani nyie waTZ mtakuja kuiga na vitu vingine visivyo na msingi, we ingesema unataka kupunguza sex labda mala moja Kwa mwezi sawa, kwanza hapa ngoja nimpigie Nasma mtoto wa ki-Iraq aje hapa tufanye yetuWasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......
NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2234241
Aisee faida konki sana.... bug up sana mwambaMabadiliko ni makubwa Sana.
Mwanzo week za Kwanza wa weza pata izo ndoto nyevu Mara 1,2 ila baada ya hapo haitokei tena.
Faida nilizo ona Hadi sasa.
-kwanza Unajiamini,Mwili una kuwa na nguvu,na afya tele.
-Akili inakuwa faster,tulivu na pia yenye mawazo chanya juu ya mstakabali wa maisha.
-Abdala kichwa wazi yupo strong,vibaya mno,anasimama imara Kama mnara,hii kwang ni zaidi ya mwanzo.
-Uchumi umekua maana nimejitenga mbali na hawa ndug zetu upande wa pili,nimejua kuji control kiasi kwamba ke Yani sumbui au kuniendesha kisa k,maana naweza survive without it.
-Imeniondolea ulimbukeni juu ya wanawake for 95% hivyo nakuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yangu ya kesho,nime save San Mkwanj wangu
✓bado naendelea ntazidi kuleta maendeleo yangu juu ya operation hi.
Ukifanya UtafanywaHuyo Nikola Tesla pamoja na hayo yote na bado amekufa, yaani nyie waTZ mtakuja kuiga na vitu vingine visivyo na msingi, we ingesema unataka kupunguza sex labda mala moja Kwa mwezi sawa, kwanza hapa ngoja nimpigie Nasma mtoto wa ki-Iraq aje hapa tufanye yetu
Ni njia ya kuchanel ile energy inayokua deplet3d from reaching an orgasm. Kwaio unakula tunda kama kawaida lakini humwagi bao. Hiyo ni more healthy na inaburudisha zaidi. Unakojoa pale tu ukiamua. Kuna kitabu nshawahi kukiweka humu kuhusu io ishu.Hatariiii hahaha..... hebu tia tia nyama kidogo hapo kwenye "multiorgasmic"
Kwahiyo madume wawil mna meet inbox mnaanza kupeana updates kuwa hamjanyandua?? Nyie angalien sana..tusije tukawapoteza..idad ya wanaume daily inapunguaPoa poa man...... mimi nimeanza leo aisee, no cheat
Mkuu na mimi naitaji hii kitu for sure nipe mfumo na muongozo wa kujisajili twende pamoja kiongoziWasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......
NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2234241
Kama unaanza zingatia hivi vitu kwanza Fanya mazoezi na uwe una funga/kujizuia kula na kunywa kingine jizoeshe kuFatilia mambo ya dini kama kusoma vitabu vitakatifuMkuu na mimi naitaji hii kitu for sure nipe mfumo na muongozo wa kujisajili twende pamoja kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaelewana tu kidogo kidogo. Ngoja tuonyeshane makaliVijana wa Jf mmeanza kuwa na Akili timamu Maajabu haya sasa dada zetu watakufa njaa .
Unaweza kuatach tena hicho kitabu man?Ni njia ya kuchanel ile energy inayokua deplet3d from reaching an orgasm. Kwaio unakula tunda kama kawaida lakini humwagi bao. Hiyo ni more healthy na inaburudisha zaidi. Unakojoa pale tu ukiamua. Kuna kitabu nshawahi kukiweka humu kuhusu io ishu.
Kuhusu mind kua focused, ukifanya meditation vizuri na mazoez muhim mbona unakua fresh tu
hapana, mara ya kwanza baada ya kukaa mwaka nikaja kukutana na mwanamke nilikimbiza freshi tu, sema inatakiwa mda maana utachafua shuka sana ndo uje ku dip.Mkuu kuna ule msemo kuwa kifaa kisipotumika unapoteza uzoefu. Sasa kwa hii ishu ikoje? Mashine si inaweza kulala maisha?
Wasalaaaaaaaam wadau.... Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.......
NoFap.... ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
View attachment 2234241
[emoji848][emoji848][emoji848] kufunga tena mbona ghafra hivooKama unaanza zingatia hivi vitu kwanza Fanya mazoezi na uwe una funga/kujizuia kula na kunywa kingine jizoeshe kuFatilia mambo ya dini kama kusoma vitabu vitakatifu