Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeanza leo mzee, hebu kwa miezi hiyo 4 tupe baadhi ya mabadiliko ya kabla na baada ya NoFap.......
Mabadiliko ni makubwa Sana.

Mwanzo week za Kwanza wa weza pata izo ndoto nyevu Mara 1,2 ila baada ya hapo haitokei tena.

Faida nilizo ona Hadi sasa.
-kwanza Unajiamini,Mwili una kuwa na nguvu,na afya tele.

-Akili inakuwa faster,tulivu na pia yenye mawazo chanya juu ya mstakabali wa maisha.

-Abdala kichwa wazi yupo strong,vibaya mno,anasimama imara Kama mnara,hii kwang ni zaidi ya mwanzo.

-Uchumi umekua maana nimejitenga mbali na hawa ndug zetu upande wa pili,nimejua kuji control kiasi kwamba ke Yani sumbui au kuniendesha kisa k,maana naweza survive without it.

-Imeniondolea ulimbukeni juu ya wanawake for 95% hivyo nakuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yangu ya kesho,nime save San Mkwanj wangu

✓bado naendelea ntazidi kuleta maendeleo yangu juu ya operation hi.
 
Huyo Nikola Tesla pamoja na hayo yote na bado amekufa, yaani nyie waTZ mtakuja kuiga na vitu vingine visivyo na msingi, we ingesema unataka kupunguza sex labda mala moja Kwa mwezi sawa, kwanza hapa ngoja nimpigie Nasma mtoto wa ki-Iraq aje hapa tufanye yetu
 
Aisee faida konki sana.... bug up sana mwamba
 
Ukifanya Utafanywa
 
Hatariiii hahaha..... hebu tia tia nyama kidogo hapo kwenye "multiorgasmic"
Ni njia ya kuchanel ile energy inayokua deplet3d from reaching an orgasm. Kwaio unakula tunda kama kawaida lakini humwagi bao. Hiyo ni more healthy na inaburudisha zaidi. Unakojoa pale tu ukiamua. Kuna kitabu nshawahi kukiweka humu kuhusu io ishu.
Kuhusu mind kua focused, ukifanya meditation vizuri na mazoez muhim mbona unakua fresh tu
 
Mkuu na mimi naitaji hii kitu for sure nipe mfumo na muongozo wa kujisajili twende pamoja kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuatach tena hicho kitabu man?
 
Kama unaanza zingatia hivi vitu kwanza Fanya mazoezi na uwe una funga/kujizuia kula na kunywa kingine jizoeshe kuFatilia mambo ya dini kama kusoma vitabu vitakatifu
Fafanua kidogo hapo ni kwanini iambatane na kufunga
 
hapana, mara ya kwanza baada ya kukaa mwaka nikaja kukutana na mwanamke nilikimbiza freshi tu, sema inatakiwa mda maana utachafua shuka sana ndo uje ku dip.
Hapo kuchafua shuka unamaanisha kwa njia gani
 

Challenge accepted naanza na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…