Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Imekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebaba
Napiga asubuhi na mida ya usiku , mazoezi ya kawaida kama push ups, kata tumbo, skuash , kegel , kukimbia , Chuma weekend(Gym ya kawaida ya wadau wa mtaa) nk. Kuna ya lazima kwa siku na mengine kama ziada.
 
Napiga asubuhi na mida ya usiku , mazoezi ya kawaida kama push ups, kata tumbo, skuash , kegel , kukimbia , Chuma weekend(Gym ya kawaida ya wadau wa mtaa) nk. Kuna ya lazima kwa siku na mengine kama ziada.
Uko wapi kaka tuungane katika tizi
 
Mambo yalikuwa magumu lakini Acha nianze kupambana tena Kwa sababu I need to be strong
 
Unatafuta magonjwa tu sex kwa mwnaaume ni afya kwa mwili na akili pia
 
Mi nlika mwaka ila sio kwa kupenda mwenyewe, nlikuwa masomoni nchi yenye sheria kali nlikuwa full stressed nikawa natafuta malaya wa kujiuza online nikiwapigia wakijua tu mi mwafrica hawaji, bei yao ni elf tisini hadi laki na nusu kulal naye usiku mmoja.anaishia kukwambia send me your location halafu haumuoni
 

Kwahiyo hadi whores ni racists!? Sijaelewa au wanaogopa kwa vile wewe muafrica utapiga shoo ya kuua[emoji23]

watu wanasemaga wanakosa wanawake kuna jamaa alikuwa Washington akawa mbususu anazisikia kwa hewa.. hivi inakuwaje hiyo?
 
Feedback ipoje, ulijisikiaje kwa muda ulitumikia
 
Nitajaribu miezi mitatu, huku nafanya kegel mpaka ntapoweza kucontrol sex bila ejaculation, then naanza kupractice multiorgasmic. Kufanya sex bila ejaculation ni nzuri maana unacirculate sexual energy kwenye organs za mwili zinasaidia spiritual healing, shida nikumpata mwanamke mwenye pure energy maana siku hizi kila demu mdangaji kwa level yake, unaweza Pambana kusafisha energy afu ukaishia kujichafua kwa mdangaji mmoja and all your work done become equal to zero
 
Naomba nipe somo la jinsi la kufanya Kegel Exercise.
 
Unajua hii kitu nikuamua tu, mfano mimi kila mwaka wiki moja kabla ya mwezi wa Ramadhani huwa naanza No Fap challenge bila kujijua. Ila ikiisha tu Ramadhani huwaga narudi kwa speed ya 4g. Ila baada ya kuona huu uzi nataka kuwa Serious na No Fap + Semen Retention.
 
Naomba nipe somo la jinsi la kufanya Kegel Exercise.
Anza na kuitambua misuli ya kegel, ukiwa unakojoa Bana mkojo afu achia rudia mpaka unapomaliza kukojoa, ukishaijua misuli inayotumika kubana mkojo, Anza kuifanyisha mazoezi unabana na kuacha Mara 20 at least kwa wiki moja, then unaongeza 50, ukishaimudu nenda mpaka 100, hakikisha unafanya mazoezi ya mwili pia.
 
Sijaelewa unaitambuaje hio misuli na unaifanyiaje hayo mazoezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…