Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Tunaendelea na mwendo
Unakaribia kuwa resilient bastard... nakubali kaka[emoji1478]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaendelea na mwendo
Napiga asubuhi na mida ya usiku , mazoezi ya kawaida kama push ups, kata tumbo, skuash , kegel , kukimbia , Chuma weekend(Gym ya kawaida ya wadau wa mtaa) nk. Kuna ya lazima kwa siku na mengine kama ziada.Imekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebaba
Kuongea ni rahisi sana kaka, sasa twende kwenye vitendoKwa hasira nilizo nazo, hii nofap niliyoianza jana naenda miezi 6, then naunga miezi 12 then maishaa
Uko wapi kaka tuungane katika tiziNapiga asubuhi na mida ya usiku , mazoezi ya kawaida kama push ups, kata tumbo, skuash , kegel , kukimbia , Chuma weekend(Gym ya kawaida ya wadau wa mtaa) nk. Kuna ya lazima kwa siku na mengine kama ziada.
Dar _Buza kwa LulengeUko wapi kaka tuungane katika tizi
Daaah. Tuko mbali mi nipo sinza hapaDar _Buza kwa Lulenge
Mi nlika mwaka ila sio kwa kupenda mwenyewe, nlikuwa masomoni nchi yenye sheria kali nlikuwa full stressed nikawa natafuta malaya wa kujiuza online nikiwapigia wakijua tu mi mwafrica hawaji, bei yao ni elf tisini hadi laki na nusu kulal naye usiku mmoja.anaishia kukwambia send me your location halafu haumuoni
Pamoja kaka ngoja tukaze mwendoUnakaribia kuwa resilient bastard... nakubali kaka[emoji1478]
Feedback ipoje, ulijisikiaje kwa muda ulitumikia2019 niliwahi fika siku 40 bila kuionja mbunye wala nyeto, si nikasema ngoja nijipongeze kidogo kwa kutimiza malengo ya hizo siku.
Bora ningeendeleza msimaamo tu maana baada ya kuchakata mbunye tu mpaka leo nikijaribu sana io challenge naishia siku 7 mpaka 10 tu.
Naomba nipe somo la jinsi la kufanya Kegel Exercise.Ntajaribu miezi mitatu, huku nafanya kegel mpaka ntapoweza kucontrol sex bila ejaculation, then naanza kupractice multiorgasmic. Kufanya sex bila ejaculation ni nzuri maana unacirculate sexual energy kwenye organs za mwili zinasaidia spiritual healing, shida nikumpata mwanamke mwenye pure energy maana siku hizi kila demu mdangaji kwa level yake, unaweza Pambana kusafisha energy afu ukaishia kujichafua kwa mdangaji mmoja and all your work done become equal to zero
Anza na kuitambua misuli ya kegel, ukiwa unakojoa Bana mkojo afu achia rudia mpaka unapomaliza kukojoa, ukishaijua misuli inayotumika kubana mkojo, Anza kuifanyisha mazoezi unabana na kuacha Mara 20 at least kwa wiki moja, then unaongeza 50, ukishaimudu nenda mpaka 100, hakikisha unafanya mazoezi ya mwili pia.Naomba nipe somo la jinsi la kufanya Kegel Exercise.
Sijaelewa unaitambuaje hio misuli na unaifanyiaje hayo mazoezi.Anza na kuitambua misuli ya kegel, ukiwa unakojoa Bana mkojo afu achia rudia mpaka unapomaliza kukojoa, ukishaijua misuli inayotumika kubana mkojo, Anza kuifanyisha mazoezi unabana na kuacha Mara 20 at least kwa wiki moja, then unaongeza 50, ukishaimudu nenda mpaka 100, hakikisha unafanya mazoezi ya mwili pia.