Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Kaka usisahau kuwa mechi bila magoli ni upuuzi mtupu, usidhani wachezaji wanapenda kujichosha uwanjani wanataka mabaoooo..
Soo inafika wakati chuma kinaishiwa glisi na ku
Sijaelewa unaitambuaje hio misuli na unaifanyiaje hayo mazoezi.
Ebana we mwenzetu kubana mkojo wa kawaida kumbe hujui
 
Kaka usisahau kuwa mechi bila magoli ni upuuzi mtupu, usidhani wachezaji wanapenda kujichosha uwanjani wanataka mabaoooo..
Soo inafika wakati chuma kinaishiwa glisi na ku

Ebana we mwenzetu kubana mkojo wa kawaida kumbe hujui
Naelewa kubana mkojo, tatizo ni kuwa ukishabana unaitambuaje hio misuli na unaifanyiaje hayo mazoezi.
 
Mkuu umewezaje?
Mkuu nakua kazn nkitoka ni mazoezin,baada ya mazoez nakua nimechoka hata huo mda wa kuongea na madem kweny Sim night naukosa.

Nje ya Hilo nimejipangia malengo ya mda mfupi na mrefu ya kutimiza yanayo hitaji fedha,hivyo tamaa zikinijia Ninapo kumbuka malengo yangu,naona kutaka sex kutakula hela zangu na kupelekea Mimi kushindwa kufikia malengo hivyo naghairi.

Lakini pia nnamalengo ya kiafya kua naitajika kuujenga mwili uwe imara maana afya ndio mtaji wa Kwanza,hivyo najua ke wapo tu mda ntakapo itaji napata,hivyo hainitesi...

Zingatia.
-jiepushe na kuangalia picha au videos za ngono.

-Jiepushe kwenda maeneo ambayo Unajua wazi lolote linaweza kutokea.

-kua mvivu kutongoza tongoza.

-jiwekee mikakati mizito ya kiuchumi,uwe una deal na mission zako zaidi.
 
Nimefanya Nofap kwa wiki tu...wife akataka vinu, nikampaaa vinuuuu.
Nguma imetoa ya kwanza imegoma kulala inataka kuendelea...nikapiga tena na tena,
"Nilijiona stelingi" 😅😅
Ila Mbegu zilikuwa nyingi mno na kero niliyoipata wakati nafanya Nofap ni kudisa disa kila wakati ....hiii challenge ili ufike miezi labda huna demu 😂
 

I consider this challenge, Kuna mahali imesema: enhances spirituality
 
Unamke alafu unafanya hii challenge jiandae mkeo kuliwa na vijana wa bodaboda
 
Strongly agreed
 
Bora ujifunze kugonga bila kuejaculate...Ina faida nyingi kuliko hiyo Yako...you can sex hata mara 3kwa week laki unaejaculate once after 10 or 20 days
 
Duuuuh!!
 
Kwahiyo hadi whores ni racists!? Sijaelewa au wanaogopa kwa vile wewe muafrica utapiga shoo ya kuua[emoji23]

watu wanasemaga wanakosa wanawake kuna jamaa alikuwa Washington akawa mbususu anazisikia kwa hewa.. hivi inakuwaje hiyo?
Mwenyewe tu huwa c mtu wa kujichanganya, nlikuwa nikirudi toka class nakaa room sitoki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…