Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Pigeni mashine nyie akili ziwakae sawa sio mnakaa kinyonge kinyonge na challenges zenu...!

Ukiwa unapiga machine Hadi akili inachangamka na kufanya kazi vzuri ...


Hivi nyie mna Nini lakin [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 

Hahah kumbe 5’7 sio tall damn ila average ya Tz nahis 5’6 kwahiyo wewe sio short ila basi tubaki na hii sifa ya dark and handsome
 
Kila siku bao mbili mpaka tatu zinatoka wastani ni mbili kwa week ni 14 ..nataka jiwekea challenge atleast nifikishe bao 28 kwa week wakuniunga mkono karibuni
 
Hata mkipata umeme wote na mke wako jua utawahimuacha..nina shuhuda kadhaa
 
Me ukitaka nisiwe na akili niwe na ny**ge tu...nakuwa kama tahira naanza txt watu ovyo kutafuta mtelezo ila nikijilipua kamoko nakuwa mpya akili inakaa sawa 😋😋
 
Na scan kbsà umeongea facts
 
Asilimia zaidi ya 60 ya walioanza hii challenge nina uhakika mpaka leo hii tayari wame RELAPSE...kubali kataa huo ndio ukweli.

Huwezi kuachana na addiction yoyote iwe pombe, sigara, porn etc..kwa njia ambayo mnatumia,.... willpower inaenda inaisha siku baada ya siku... that's why New year resolutions hazifanyi kazi.

Waulize watu waliotumia madawa ya kulevya au waliokaa kwenye sober house watakuambia.

Njia sahihi ya kuacha addiction ni kujijua mwenyewe nini kimekupeleka huko kwenye addiction, na kuamua kuacha au kutafuta solution ya hicho kitu kwasababu unaona kwa sasa hakiendani na maisha unayoyataka, hii inabidi itoke NDANI kabisa ya MOYO na AKILI,(unaacha kwasababu unaona havina umuhimu katika maisha yako) ukifanya hivyo hata ukiona porn inaonyeshwa mbele yako au picha ya kusisimua huwezi kufanya masterbation sababu sio kitu moyo na akili yako inataka na wala huwezi kutamani utaona kawaida...

...usitake kuacha addiction kwaajili ya kupata REWARD fulani mfano,kupata confidence,kunenepa,kuongeza nguvu za kiume,kufikisha siku 90 etc..hizo ni faida baada ya kuamua kuacha zinatakiwa ZISIWE sababu za kuacha,..tafuta kwanza kiini cha tatizo,laa sivyo hiyo reward ikiondoka au usipofanikiwa kuifikia there you go.... una RELAPSE,unatafuta reward nyingine na mzunguko unarudi pale pale....

Mtu ambaye yuko addicted hata ukimtajia vifungu vya dini Korani na Biblia,bado huwezi kumsaidia kwasababu nyuma ya pazia kuna sababu iliyomfanya akafika hapo alipo.

Wataalamu wanasema kujua MADHARA ya kitu haisadii katika kuacha addiction yake...kila mtu anajua madhara ya sigara na pombe na bado watu wanatumia, jiulize kwanini bado wanatumia?? Kuna SABABU, kama Stress,upweke,etc kwanini una stress au upweke??...hiyo sababu ndiyo inatakiwa kuondoka ili kuacha hiyo addiction... ITAFUTE.....Think [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
 
Umeongea point kubwa sana , post yako hii inapaswa kuwekewa lamination na kubandikwa ukutani.
 
Good point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…