Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Daah hongereni mnaoiweza "Nofap" mm kila siku lazima nipige Masterbation aise, nikijaribu siku ipite bila kupiga nakosa Usingizi kabisa, kwahiyo ni lazima nipige Puli moja ya uhakika sana, then ndo napata Usingizi
Jaribu kupunguza anza mara chache kwa week then mara chache kwa mwez mpaka uache completely...download app hiyo ili uwe una track progress

Siyajui maisha yako ila kwa maelezo hayo lazima uwe una lifestyle sio nzuri

Fanya mazoezi, piga kazi kwa sana ikifika jion unalala kama kiroba ukichoka na kazi hautokuwa na mda na hizo mambo
 
Daah hongereni mnaoiweza "Nofap" mm kila siku lazima nipige Masterbation aise, nikijaribu siku ipite bila kupiga nakosa Usingizi kabisa, kwahiyo ni lazima nipige Puli moja ya uhakika sana, then ndo napata Usingizi
Yani mkuu hapo ndipo tunapo feli watu wengi hapo ni sawa sawa akili,mwili,hisia unashindana navyo hapo ndipo unapojipima unaweza kujicontroll ama vipi usikubali hisia,mwili,akili vikuendeshe maana wewe kama wewe ni hiyo roho yako ukitoa akili,mwili wako
 
Nikiamua jambo halafu nikashindwa njian huwa nakwazika sana maana naona nna sheer will ndogo wakat najionaga ni strong & smart person there is

Labda ni tatizo au nn ila nachukia kufeli aisee
 
Nikiamua jambo halafu nikashindwa njian huwa nakwazika sana maana naona nna sheer will ndogo wakat najionaga ni strong & smart person there is

Labda ni tatizo au nn ila nachukia kufeli aisee
Watu wengi tunaendeshwa na akili,mwili ndio maana kuna baadh ya vitu tunafeli na uoga,hofu pia vinatufelisha mkuu laiti kama tukiweza kukontroll vitu hivi naamini binadamu wengi tungekuwa mbali sana
 
Watu wengi tunaendeshwa na akili,mwili ndio maana kuna baadh ya vitu tunafeli na uoga,hofu pia vinatufelisha mkuu laiti kama tukiweza kukontroll vitu hivi naamini binadamu wengi tungekuwa mbali sana

Ku control uoga huwa natumia mbinu moja inaitwa

Five second rule

Imensaidia kwa kiasi chake
 
Ku control uoga huwa natumia mbinu moja inaitwa

Five second rule

Imensaidia kwa kiasi chake
Jana mkuu nusu niharibu hii challenge katika kupita pita humu jukwaaani nikapitia ile nyuzi ya warembo wakali na picha zao aiseee kutazama...

Picha kadhaa za warembo nikaona hali inachange nikajikaza kama dakika 10 nikazima simu na kumbonji ingekuwa mwingine angeshachukua sheria mkononi[emoji16]
 
[emoji28] Hongera Mkuu
 
Mimi niliamua mpaka nije nirudishe pesa zangu nilizopoteza kama hasara ndio nitanyandua kudadadek!!

Yani naishi kama kibwengo asee! Yani nimevurugwa haswaaa na pesa naichanga balaa (kadili ya level yangu ya kimaisha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…