Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Tupe changamoto tunaoanza mkuu ..maana leo ndo cku yangu ya nne

Kama ulikuwa na mazoea ya kukata pisi au kuchukua sheria mkononi itakupitisha kipindi kigumu kidogo, hasa hasa sheria mkononi.

Binafsi nilikuwa siwezi kulala/kuamka bila kushtua β€˜kimoko’ lakini nimesonga mbele kwa uvumilivu wa hali ya juu leo nagonga 66 days bila kumwaga mbegu.

Mwili ni wako, dhakari ni yako, akili na mawazo ni vyako pia, ukiweka nia na uthubutu lazima ufanye mambo makubwa, si tu kustahimili kutofanya sex bali hata changamoto nyingine nyingi za kimaisha unaweza kuzishinda endapo utapata msukumo sahihi.

Ukitaka kwenda mbali, nenda na wezako/wenzio.
 
That shit fucks everything mpaka kumbukumbu
 
Niseme ukweli porn&puchu ni janga la dunia kmk.. linazidi kutuumiza vijana&wanaume[emoji58][emoji58]
 
Jana ilibaki kidogo tu niende na majiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikawa najiskia kama nafsi mbili zinabisha ndani yangu

Ya kwanza😱ya kastue hata kimoko

Ya pili:kausha

Ya kwanza😱ya mafuta yale paleee

Ya pili:kausha

πŸ˜‚πŸ˜‚dah sema nliweza kukausha
 
Ukiona hvo toka hapo ulipo katembee ka usiku nenda hata seblen kanywe maji
 
Hii kitu ngumu yaani mpaka magoti yangu nayachukia kwa jinsi yalivyo. Ok naanza hii challenge leo tar 13/8/22 Muda 16:16 nikiwa nimetoka kupiga la pili geto.
Mungu Nisaidie nikae Mwezi tu kwanza.πŸ™
Ok Let's go...........................
 
Hii kitu ngumu yaani mpaka magoti yangu nayachukia kwa jinsi yalivyo. Ok naanza hii challenge leo tar 13/8/22 Muda 16:16 nikiwa nimetoka kupiga la pili geto.
Mungu Nisaidie nikae Mwezi tu kwanza.[emoji120]
Ok Let's go...........................

Kwanini unayachukia magoti yako kamanda. Yamefanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…