Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Tupe changamoto tunaoanza mkuu ..maana leo ndo cku yangu ya nne

Kama ulikuwa na mazoea ya kukata pisi au kuchukua sheria mkononi itakupitisha kipindi kigumu kidogo, hasa hasa sheria mkononi.

Binafsi nilikuwa siwezi kulala/kuamka bila kushtua ‘kimoko’ lakini nimesonga mbele kwa uvumilivu wa hali ya juu leo nagonga 66 days bila kumwaga mbegu.

Mwili ni wako, dhakari ni yako, akili na mawazo ni vyako pia, ukiweka nia na uthubutu lazima ufanye mambo makubwa, si tu kustahimili kutofanya sex bali hata changamoto nyingine nyingi za kimaisha unaweza kuzishinda endapo utapata msukumo sahihi.

Ukitaka kwenda mbali, nenda na wezako/wenzio.
 
Katika pitapita huko mtandaoni kuna bandiko nimelikuta sehemu mimi kama muhanga wa haya makitu aisee limeniinspire sana, tena saana sio kidogo.Nikaona nishee nanyi.

Bango hilo inasema PORN AND MASTURBATION IS FREE BECAUSE YOU PAY WITH YOUR SOUL. Duuuh…. Ukiyatafakari ni maneno mazito sana haya.
That shit fucks everything mpaka kumbukumbu
 
Katika pitapita huko mtandaoni kuna bandiko nimelikuta sehemu mimi kama muhanga wa haya makitu aisee limeniinspire sana, tena saana sio kidogo.Nikaona nishee nanyi.

Bango hilo inasema PORN AND MASTURBATION IS FREE BECAUSE YOU PAY WITH YOUR SOUL. Duuuh…. Ukiyatafakari ni maneno mazito sana haya.
Niseme ukweli porn&puchu ni janga la dunia kmk.. linazidi kutuumiza vijana&wanaume[emoji58][emoji58]
 
Jana ilibaki kidogo tu niende na maji😂😂😂
Nikawa najiskia kama nafsi mbili zinabisha ndani yangu

Ya kwanza😱ya kastue hata kimoko

Ya pili:kausha

Ya kwanza😱ya mafuta yale paleee

Ya pili:kausha

😂😂dah sema nliweza kukausha
 
Jana ilibaki kidogo tu niende na maji[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikawa najiskia kama nafsi mbili zinabisha ndani yangu

Ya kwanza😱ya kastue hata kimoko

Ya pili:kausha

Ya kwanza😱ya mafuta yale paleee

Ya pili:kausha

[emoji23][emoji23]dah sema nliweza kukausha
Ukiona hvo toka hapo ulipo katembee ka usiku nenda hata seblen kanywe maji
 
Hii kitu ngumu yaani mpaka magoti yangu nayachukia kwa jinsi yalivyo. Ok naanza hii challenge leo tar 13/8/22 Muda 16:16 nikiwa nimetoka kupiga la pili geto.
Mungu Nisaidie nikae Mwezi tu kwanza.🙏
Ok Let's go...........................
 
Hii kitu ngumu yaani mpaka magoti yangu nayachukia kwa jinsi yalivyo. Ok naanza hii challenge leo tar 13/8/22 Muda 16:16 nikiwa nimetoka kupiga la pili geto.
Mungu Nisaidie nikae Mwezi tu kwanza.[emoji120]
Ok Let's go...........................

Kwanini unayachukia magoti yako kamanda. Yamefanyaje?
 
Back
Top Bottom