Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimesoma kwanzia mwanzo mpaka hapa naona sielewi kinachoendelea na mimi nasema siwezi umri wangu bado sana kufikia huko. Wiki mbili tu huwa zinanipa shida hiyo miezi mitatu nitawezaje?

Labda kupunguza sio kuacha kabisa nahisi hata afya ya akili itazorota kutokugegeda.
 
Mleta thread umechelewa kuileta hii kitu sababu Kuna faida nyingi sana kuliko unavyoweza kudhani. Ushuhuda wangu mimi ninakaribia mwaka Sababu nilianza huu utaratibu siku ile aliyokamatwa Mbowe kwa kesi ya ugaidi akiwa mwanza, nafikiri ulikua mwezi wa saba hivi ila tarehe siikumbuki, Nilibidi nifanye hivyo maana nilikua napoteza energy nyingi sana kumshawishi manzi aje gheto, akifika gheto hawezi kuondoka bila kumtoa, Ukimtoa haishii kunungunika kwamba haimtoshi, hapo raha zote zinakatika, nikasema haya maisha yasinifanye mimi utopolo, Nikaweka nia ya kutofanya ..nyeto pamoja na sex nione inakuaje, wiki ya kwanza ikakatika ya pili mara mwezi mpaka hivi sasa.

Faida zake sasa.
Nyele zinaota zikiwa nene.

Macho yenye afya..ule wekundu ndani ya macho unapotea.

Ngozi yenye afya Maana yale maji Maji yasipotolewa kwa muda mwili unazivunja vunja hivyo ngozi inakua safi.

Ndoto nyevu zinapungua jinsi unavyoongeza siku.

Kuongezeka kwa umakini katika jambo yaani ukitaka kufanya jambo utahakikisha unalifanya kwa Sababu ya ule msukumo wa energy.

Wanawake watakuona unavutia zaidi hivyo utawapanga jinsi unavyotaka.
 
Back
Top Bottom