Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Leo nimeamua nianze tena challenge nmedownload app ya iron will inisaidie kuhesabu ni siku ngap nitakaa bila kula demu/nyeto nikifanikiwa kufika miez 3 najua hata akili itakua mpya
Ila inatakiwa u unfollow kila kinacho shawish ngono hasa madem wenye tako na usiangalie sana mademu

View attachment 2235728

All the best mkuu
 
Hi nzuri ina faida zifuatazo.
-inakuepusha na magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya ngono.

-inakuepusha na nuksi.
-inakuepusha na majanga mbali mbali mfano,mimba zisizo tarajiwa,kufumaniw nk.
-inakuepusha na vizinga mwambatano.

-unapata utulivu wa nafsi.
-akili inajikita kwenye ukuaji wa uchumi wako.
-Unarejesha nguvu upya za sexx
Safi [emoji106][emoji106]
 
Mimi nimeanza juzi ila kuna jamaa humu amekoment kwamba yeye yuko mwezi wa nne sasa na faida alizopata ameziorodhesha, ukipitia koment vizuri utakutana nae.
Bryon Long [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


 
Kwa yeyote atakae join tunaomba atumie hii app kuna mdau Lucha ameileta humu nimeicheki nakugundua ni nzuri sana ukistart mfano leo hata kama siku zimepita umesahau ni siku ya ngapi ukifungua unakuta inakwambia leo uko siku labda ya kumi na kadhalika.

Sikuwa naijua hii app hivyo nimeinstall leo na siku yangu inaonekana imeanza leo lakini nilianza toka jpili hii......Pia ni rahisi kuoneshana kwenye updates za humu ndani yaani unascreen short kisha unaprove kwa wadau kwamba hujacheat maana ukiscreen short pale mbele kila kitu kinaonekana kwamba ni siku yangapi toka ulivyoanza challenge.

APP YENYEWE NI HII INAITWA IRON WILL. JINA LA APP TU KWANZA LINAKUPA MOLARO YAANI "IRON WILL"

NATUMAI KWA WALIOJOIN HAWATA CHEAT.
 

Attachments

  • Screenshot_2022-05-24-08-47-58-651_com.android.vending.jpg
    Screenshot_2022-05-24-08-47-58-651_com.android.vending.jpg
    76.1 KB · Views: 90
  • Screenshot_2022-05-24-08-48-29-985_com.android.vending.jpg
    Screenshot_2022-05-24-08-48-29-985_com.android.vending.jpg
    76.2 KB · Views: 94
Back
Top Bottom