Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Dah, nimecheka sana mkuu
 
Hii link hapa chini inaelezea kila kitu.Ni muhimu sana kuipitia huku kwenye link.Kuna watu kutoka mataifa mbali mbali wakielezea umuhimu wa hii kitu. Kisayansi inaitwa semen retention mafanikio yanakuwa makubwa ukifikisha siku 90 au 120. Japo inategemea mtu na mtu, kama kuna mtu ana maswali au ana changamoto atembelee hii subreddit. Kuna madaktari na wanaume wenzetu kutoka sehemu mbali mbali wakitoa ushauri wao na jinsi walivyofanikiwa. Hii kitu ina faida kubwa sana kiroho na kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…