Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Me nimejaribu ya ndani ya masaa 48 sijatoboa
 
Mi Ni mmoja wa wakurugenzi, katika chama Cha no fap😁.
👉Ila ceo wewe ni msaliti😁😂
😂Mara ya kwanza nilijificha ila baadae nilikuja hapa kuripoti kwa wanachama kwamba jamani ee.... nimezinguaa😂 ila iliniuma vibaya mno. Natumai wewe ulikaza mzee😂😂. Hivi unaweza kunielekeza kidogo namna ya kuirudisha ile ID yangu ya bafetimbi?. Nikama iko blocked na ndiyo sababu ya kufungua hii..
 
Ume sahau password au??, Mi Niko single toka nizaliwe😁😂
 
Challenge nimeikuta kati kati Ila mpaka naiona hii thread Nina 30 days..... Niendelee au nianze upya ..!? Ushauri wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…