Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

[emoji457]View attachment 2733710
Screenshot_2023-06-15-13-57-03-71_3233ed7a4dfeb2a27327096db7212adb.jpg
 
Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.

Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.

NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani aidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.

Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.

Niombeeni wadau katika hii challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.

Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,

Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.

If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.



Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Me nimejaribu ya ndani ya masaa 48 sijatoboa
 
Mi Ni mmoja wa wakurugenzi, katika chama Cha no fap😁.
👉Ila ceo wewe ni msaliti😁😂
😂Mara ya kwanza nilijificha ila baadae nilikuja hapa kuripoti kwa wanachama kwamba jamani ee.... nimezinguaa😂 ila iliniuma vibaya mno. Natumai wewe ulikaza mzee😂😂. Hivi unaweza kunielekeza kidogo namna ya kuirudisha ile ID yangu ya bafetimbi?. Nikama iko blocked na ndiyo sababu ya kufungua hii..
 
😂Mara ya kwanza nilijificha ila baadae nilikuja hapa kuripoti kwa wanachama kwamba jamani ee.... nimezinguaa😂 ila iliniuma vibaya mno. Natumai wewe ulikaza mzee😂😂. Hivi unaweza kunielekeza kidogo namna ya kuirudisha ile ID yangu ya bafetimbi?. Nikama iko blocked na ndiyo sababu ya kufungua hii..
Ume sahau password au??, Mi Niko single toka nizaliwe😁😂
 
Challenge nimeikuta kati kati Ila mpaka naiona hii thread Nina 30 days..... Niendelee au nianze upya ..!? Ushauri wakuu
 
Back
Top Bottom