Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Acheni hizooo, sasa mnataka wanawake wale nini....!!
Wakale wapi...!!!
Halafu utamu wa Ke aukulenani....??!
Ngoja nikawasemee...
Ni kweli chief NoFap ni kwajili ya kuacha addiction ya porn, masterbation na semen retention ni kwajili ya kutunza mbegu za kiume kwa manufaa makubwa kwa mwanaume mwenyewe..Ila naona mnaitafsiri tofauti, articles nyingi zinasema NoFap ni kitendo cha kuacha mastrurbation na kutazama porn.
Imekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebabaHata mimi niliongeza vingengele zaidi ili kujiweka fiti zaidi na kuondokana na mambo ya kipumbavu baadhi yake ;
*Kuwa siriaz na ibada(Maombi)
*Mazoezi kwa ratiba maalum(mpk You2be niliserch)
*Vitabu mbalimbal
*Kuachana na miziki na movies za hovyo
*Kupunguza mda kukaa na kuwaepuka watu wenye kuwaza ngono na upuuzi muda mwingi
*Kufuatilia vitu vya maana mitandaoni
*Nk
Huo mkoa wenye baridi ndio mzr sasa kupiga tizi maana unaupa mwili joto ebu amka kaka acha uvivuImekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebaba
Hatari sana man, yani ukiamua kubadili maisha yako unakuwa mtu mwingine kabisa mfano mimi zile shobo nilizokuwanazo kila nikimuona demu anaevutia sahizi sina kabisa, yani hata manzi awe mkali kiasi gani mimi namuona kama nyani tu yuko juu ya mti.Kuna kikundi kinaulaani huu uzi.
Wanaupita kama hawauoni.
Kuna muda utafika wataulaani waziwazi. Maana hawatakuwa na pakula.
Hivohivo mwisho utaweza ila ukirelapse jitahidi isiwe kupiga nyeto au kuangalia porn bora ufanye na mwanamkeWakuu mnisamehe tafadhali. Jana nilikuwa nafikisha siku ya 14. Nikaharibuc. Week mbili kwangu siyo mbaya ni mafanikio makubwa kiasi.
Naomba mnipokee tena wajameni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Umechuku mda kusearch material youtube ukapata ushahidi wa kisayansi au pia Kibiblia ni kwa Quran hivo vitabu vinasemaje au unocomment ili mradi tuSijaona sehemu yyt ambayo inaonesha faida kuwa utapata afya ya akili, if so sihitaji kufanya hivyo nisije run crazy kwa challenge zisizo na msingi!!!
Unajua best wewe ulitaka kuharibu haka kampango na hile story yako kule, fimbo zinakuhusu[emoji23][emoji23] poleni sana
Hhhaha sasa subir wapo watataka uwakule kat ya hao madem maana wanavutiwa na mtu asiekuwa na shobo ningeandika apa psychology yao ilivo ila itakuwa kuanzisha uzi juu ya uzi ila elewa ndomaan ukiwa kweny nofap au semen retention kuanzia siku ya 14 warembo unawavutia maana una kuwa na high vibration na hata watu wasiokujua wanakutreat good pia confidence yako ndo unakuta inashangaza watu na kuwavutia pia eye contactHatari sana man, yani ukiamua kubadili maisha yako unakuwa mtu mwingine kabisa mfano mimi zile shobo nilizokuwanazo kila nikimuona demu anaevutia sahizi sina kabisa, yani hata manzi awe mkali kiasi gani mimi namuona kama nyani tu yuko juu ya mti.
Juzi nimeingia mgahawa flani wa mshkaji wangu uko jirani na chuo flani hivi hapa town nikaagiza msosi mara wakaja madem flani wa mjini wale wanaojionaga top in town.
Walivyoingia hawakusalimia mtu hata mmoja ila wadau mule ndani wakaanza kuwashobokea kwa salamu kibao mixa kuwachekea chekea mimi nimecool tu sina habari na mtu tena mmoja akaja kukaa karibu yangu bila kusalimia namimi sikumsemesha mpaka naondoka pale nikamuaga mchizi kisha mimi yuleeee nikapotea.
Naona kitendo nilichofanya yule demu hakuamini alijiona yeye ni mzuri na wakushobokewa na kila mwanaume.
Sasa jana yule mshkaji wangu akanipigia anasema nilivyoondoka pale wale madem wakaanza kunisema eti huyu kaka alietoka anaonekana anadharau hata sijui anaringia nini.
Mimi nikacheka saaana hahahahah.
[emoji1787] wee usiniambie, pambana bwana uyashinde majaribu.Unajua best wewe ulitaka kuharibu haka kampango na hile story yako kule, fimbo zinakuhusu
Mbona hujanicheki kwa msg best ili nipoe[emoji1787] wee usiniambie, pambana bwana uyashinde majaribu.
Bora umeanza na Mungu nisaidie maana kwa akili zako binafsi utaangukaHii challenge na mimi nimo nimeanza jana...eeeh MUNGU nisaidie[emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji2969][emoji120][emoji120]
Nimesema hivyo kwa sababu najijua,hili pambano ni zito kwa upande wangu..lakini naona kabisa kuna faida ipoBora umeanza na Mungu nisaidie maana kwa akili zako binafsi utaanguka
Byron long naye yupo kwenye challenge!!!..mimi ni nani hadi nisiwepo?Bryon Long [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
![]()
NoFap Community
🔥 SUPPORT CHANNEL FOR QUITTING PMO AND SELF-IMPROVEMENT 🔥 🎊 ᴡᴇʟᴄᴏᴍᴇ ᴛᴏ 1% ᴄʟᴜʙ 🎊 • ᴍᴇᴍᴇs • ʙᴏᴏᴋs • ꜰᴀᴄᴛs • ᴍᴜsɪᴄ • ᴛɪᴘs ©️ ᴅᴍᴄᴀ: @NoFapReportBot 🗂 sᴇɴᴅ ᴄᴏɴᴛᴇɴᴛ: @NoFapContentBot Copyright: https://t.me/NoFapChallenge100/2982t.me
Sasa tutaharibu harakati zako ujue. Umalize kwanza hii challenge.Mbona hujanicheki kwa msg best ili nipoe
Hii challenge nitafika malengo ila kwa msaada wako ujue, unaujua nimeamua japo hata mwezi nitoboe malengo ya mwezi, basii ili niwe commando, we njoo unipe moyo basiSasa tutaharibu harakati zako ujue. Umalize kwanza hii challenge.