Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Na inasaidia kupunguza mihemko bila hiyo kitu mtu anaweza kubaka hata Mbuzi .
Kabisa maana mwili unakuwa na chaji moja matata sana sasa bila ndoto nyevu ingekuwa hatari..
 
Ila naona mnaitafsiri tofauti, articles nyingi zinasema NoFap ni kitendo cha kuacha mastrurbation na kutazama porn.
Ni kweli chief NoFap ni kwajili ya kuacha addiction ya porn, masterbation na semen retention ni kwajili ya kutunza mbegu za kiume kwa manufaa makubwa kwa mwanaume mwenyewe..

Lakini kitaalam unashauriwa kuwa hizi zinafanya kazi pamoja na ndiyo maana wanaofanya NoFap huunganisha na Semen Retention na ndivyo tunavyofanya sisi, sababu ukiangalia porn itakuletea tamaa eidha ya kupiga puchu umwage au kukamata demu umle kisha umwage vilevile.... Na hapo sasa utakuwa umegusa pande zote... mbegu umezitoa na bado porn umecheki.... Umeona sasa vinavyoshirikiana hivi vitu??

Ndiyo maana ilkitaalam unatakiwa kuunganisha vyote kamanda.

Linda mbegu zako na hakuna kucheki porn wala puchu....

Na kazi iendelee.
 
Hata mimi niliongeza vingengele zaidi ili kujiweka fiti zaidi na kuondokana na mambo ya kipumbavu baadhi yake ;

*Kuwa siriaz na ibada(Maombi)
*Mazoezi kwa ratiba maalum(mpk You2be niliserch)
*Vitabu mbalimbal
*Kuachana na miziki na movies za hovyo
*Kupunguza mda kukaa na kuwaepuka watu wenye kuwaza ngono na upuuzi muda mwingi
*Kufuatilia vitu vya maana mitandaoni
*Nk
Imekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebaba
 
Hii ngoma inahitaji uvumilivu sana sema jana nimepiga kimoja ndotoni😃😃 all in all safari inaendelea
 
Attachments

  • Screenshot_20220613-115202.png
    Screenshot_20220613-115202.png
    83.7 KB · Views: 30
Imekaa fresh sana hii kamanda sema tupe maujuzi hapo kwenye mazoezi kwa ratiba maalum yanakuwaje... Mimi nipo mkoa wenye baridi moja mbaya na muda mzuri kwangu wa kupiga tizi ni asubuhi lakini nashindwa kuamka sababu ya baridi ni kali sana mzeebaba
Huo mkoa wenye baridi ndio mzr sasa kupiga tizi maana unaupa mwili joto ebu amka kaka acha uvivu
 
Kuna kikundi kinaulaani huu uzi.
Wanaupita kama hawauoni.

Kuna muda utafika wataulaani waziwazi. Maana hawatakuwa na pakula.
Hatari sana man, yani ukiamua kubadili maisha yako unakuwa mtu mwingine kabisa mfano mimi zile shobo nilizokuwanazo kila nikimuona demu anaevutia sahizi sina kabisa, yani hata manzi awe mkali kiasi gani mimi namuona kama nyani tu yuko juu ya mti.

Juzi nimeingia mgahawa flani wa mshkaji wangu uko jirani na chuo flani hivi hapa town nikaagiza msosi mara wakaja madem flani wa mjini wale wanaojionaga top in town.
Walivyoingia hawakusalimia mtu hata mmoja ila wadau mule ndani wakaanza kuwashobokea kwa salamu kibao mixa kuwachekea chekea mimi nimecool tu sina habari na mtu tena mmoja akaja kukaa karibu yangu bila kusalimia namimi sikumsemesha mpaka naondoka pale nikamuaga mchizi kisha mimi yuleeee nikapotea.

Naona kitendo nilichofanya yule demu hakuamini alijiona yeye ni mzuri na wakushobokewa na kila mwanaume.

Sasa jana yule mshkaji wangu akanipigia anasema nilivyoondoka pale wale madem wakaanza kunisema eti huyu kaka alietoka anaonekana anadharau hata sijui anaringia nini.

Mimi nikacheka saaana hahahahah.
 
Sijaona sehemu yyt ambayo inaonesha faida kuwa utapata afya ya akili, if so sihitaji kufanya hivyo nisije run crazy kwa challenge zisizo na msingi!!!
Umechuku mda kusearch material youtube ukapata ushahidi wa kisayansi au pia Kibiblia ni kwa Quran hivo vitabu vinasemaje au unocomment ili mradi tu

Na je unaelewaje kati ya Nofap na Semen retention?

Na kama uko na miaka 30+ basi utakuwa unahitaji msaad wa kiakili

Ila kam ni chin ya 25 basi acha ujuaji jitume kutafuta maaraifa hutabaki kama ulivyo
 
Hatari sana man, yani ukiamua kubadili maisha yako unakuwa mtu mwingine kabisa mfano mimi zile shobo nilizokuwanazo kila nikimuona demu anaevutia sahizi sina kabisa, yani hata manzi awe mkali kiasi gani mimi namuona kama nyani tu yuko juu ya mti.

Juzi nimeingia mgahawa flani wa mshkaji wangu uko jirani na chuo flani hivi hapa town nikaagiza msosi mara wakaja madem flani wa mjini wale wanaojionaga top in town.
Walivyoingia hawakusalimia mtu hata mmoja ila wadau mule ndani wakaanza kuwashobokea kwa salamu kibao mixa kuwachekea chekea mimi nimecool tu sina habari na mtu tena mmoja akaja kukaa karibu yangu bila kusalimia namimi sikumsemesha mpaka naondoka pale nikamuaga mchizi kisha mimi yuleeee nikapotea.

Naona kitendo nilichofanya yule demu hakuamini alijiona yeye ni mzuri na wakushobokewa na kila mwanaume.

Sasa jana yule mshkaji wangu akanipigia anasema nilivyoondoka pale wale madem wakaanza kunisema eti huyu kaka alietoka anaonekana anadharau hata sijui anaringia nini.

Mimi nikacheka saaana hahahahah.
Hhhaha sasa subir wapo watataka uwakule kat ya hao madem maana wanavutiwa na mtu asiekuwa na shobo ningeandika apa psychology yao ilivo ila itakuwa kuanzisha uzi juu ya uzi ila elewa ndomaan ukiwa kweny nofap au semen retention kuanzia siku ya 14 warembo unawavutia maana una kuwa na high vibration na hata watu wasiokujua wanakutreat good pia confidence yako ndo unakuta inashangaza watu na kuwavutia pia eye contact
 
Bryon Long [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Byron long naye yupo kwenye challenge!!!..mimi ni nani hadi nisiwepo?
 
Sasa tutaharibu harakati zako ujue. Umalize kwanza hii challenge.
Hii challenge nitafika malengo ila kwa msaada wako ujue, unaujua nimeamua japo hata mwezi nitoboe malengo ya mwezi, basii ili niwe commando, we njoo unipe moyo basi
 
Back
Top Bottom