Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Naielewa hiyo origin theory lakini nikuulize tu kweli twiga alikua na shingo fupi tuwaze ki logic tu maana hata hizo theory zimekua develop na watu tu kama wewe tho kwakua ni mzungu ndiyo kaleta hizo hoja basi utamuamini [emoji817] [emoji817] [emoji817] moja kwa moja, wale waliofanya research na wakaja na hizo findings bado hakuna uhalisia sana maana hatujui awali wanyama hao Waliluaje hakuna alieona kwa video au picha, kua ni kweli twiga awali alikua na shingo fupi hebu lete picha inayoonyesha twiga alikua ana shingo fupi, pia kuna sababu kwa mbuni kwa uzito wa umbo lake ndiyo akawa hawezi kuruka kwa umbali mrefu so ni watu walikaa chini wakawaza tu hichi kitu kipo hivi basi sababu ilikua ni hivi kikawa hivi,Hivi mnajua theory ya use and disuse mazee ...
"The more you use your body part,that part become more strong and perfect "
"The way you disuse your body part that part become weak and functionless finally disappear"
Wanabiologia walienda mbali nakusema zamani kabisa ostrich (mbuni) alikuwa na mabawa ya kuweza kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine lakin alivokaa mazingira ambayo hayamsupport kuruka kwa muda mrefu mabawa yake yalikuwa weak na functionless ndio maana mpaka Sasa mbuni ana mabawa ila hawezi kupaa kama ndege wengine ...." Disuse of body part"
Twiga alikuwa na shingo fupi lakini baada ya ukame mkubwa na majani kuisha chini ya ardhi alianza kula majani ya mti na kitendo cha kuanza kuwa anaforce shingo yake kwenda juu mpaka Leo ile shingo imekuwa ndefu "use of body part"
Kwa maelezo zaidi kasome kitabu cha biology form 3 Kuna topic inaitwa "theory of origin and development".....
Sasa kwa nyie mnaotaka kukaa miaka hamfanyi Nina uhakika mnadhoifisha Hilo eneo na linaenda kuwa weak ....
Kumbuka " practice make more perfect " .....
So kwenye hii challenges naona hujapitia video YouTube ni watafiti hao hao uliowaamini kwenye theory ya origin hao hao wazungu ndiyo wameelezea benefits ya challenge hii, sasa nikuulize unataka kuniambia mtu kutosex kwa muda mrefu sex organ yake itapotea