View attachment 2293611
Namuomba mungu angalau ifike 40 days
Mpaka sasa nimeon
1.Body strenth imeongezeka, nilikuwa na tatizo la goti ila naona kama halipo
2. Kasi ya ukuaji nywele.
3.Kujiamini sana,ulaghai wa pisi wa physical appearance haunifanyi ku shake. ( Sicheki cheki na kima).
4.Hisia kuwa mjegejo strength iko high maana kila monie uko harder than before.
5.Wise in decision making.
6.Uchumi unabadilika,saving imeongezeka.
7.Naweza ku control hisia kwa kutoyumbishwa na matamanio ya macho when i remember this challenge.
8.Kama kuna kasi kismart sijui ya ku meet pisi mpya . ( Shetani buana [emoji23] as if amekaa pale ananiambia nikiweza hii challenge nimuite mbwa [emoji23])
Naomba mungu when i reach 30 days nianze na mazoezi rasmi.
Tuombeane.