Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Usijitese mzee baba jipe raha.... ila hizi raha sio nzuri maana wanabaki wao tena kwa muda mrefu tu ila sisi ndiyo tunakwenda chini ya udongo mapema. Babu yangu alikufa mwaka 1981 wakati bibi yupo mpaka leo hii na ameshasahau kama aliwahi kuwa na mume na hiyo ni upande wa baba tu, kwa upande wa mama babu alikufa mwaka 1988 ila bibi yupo mpaka leo hii.
Duh
 
Hi nzuri ina faida zifuatazo.
-inakuepusha na magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya ngono.

-inakuepusha na nuksi.
-inakuepusha na majanga mbali mbali mfano,mimba zisizo tarajiwa,kufumaniw nk.
-inakuepusha na vizinga mwambatano.

-unapata utulivu wa nafsi.
-akili inajikita kwenye ukuaji wa uchumi wako.
-Unarejesha nguvu upya za sexx
True
Spiritual inakuepusha na mengi zaidi

Yaani nipate mtu wa hivi akute nimekaa muda mrefu pia ,halafu iwe siku yakutafuta mtt

Men....kitu puree
 
Mabadiliko ni makubwa Sana.

Mwanzo week za Kwanza wa weza pata izo ndoto nyevu Mara 1,2 ila baada ya hapo haitokei tena.

Faida nilizo ona Hadi sasa.
-kwanza Unajiamini,Mwili una kuwa na nguvu,na afya tele.

-Akili inakuwa faster,tulivu na pia yenye mawazo chanya juu ya mstakabali wa maisha.

-Abdala kichwa wazi yupo strong,vibaya mno,anasimama imara Kama mnara,hii kwang ni zaidi ya mwanzo.

-Uchumi umekua maana nimejitenga mbali na hawa ndug zetu upande wa pili,nimejua kuji control kiasi kwamba ke Yani sumbui au kuniendesha kisa k,maana naweza survive without it.

-Imeniondolea ulimbukeni juu ya wanawake for 95% hivyo nakuwa na nafasi kubwa ya kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yangu ya kesho,nime save San Mkwanj wangu

✓bado naendelea ntazidi kuleta maendeleo yangu juu ya operation hi.
Kudos
Kumbe mkiamua mnaweza jmn
 
Nipo huku tarime, aisee kuna pisi mbovu sijawahi kuona dunia nzima.. Nimeona nijiunge tu na hii challenge na nina wiki sasa, nataka nikomae mwaka mzima mpaka ntakaporudi katika mji niliouzoea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndo ukweli
Pisi nyingi kali huwa zinahama huko na kuhamia kwenye majiji Mwanza, Dar etc
Hapo challenge yako hautapata changamoto nyingi
 
Nimepatwa na maswahibu nika relapse naomba mnipokeeni comrades
EEA2F450-D8A9-4CB1-A111-2BC953BF8FDE.jpeg
 
Comments za Wamwagiwa mbegu zimekuwa chache sana sijui wamesusa!! Mimi mwenye wake mbili mnanisaidiaje kujiunga...
 
Baada ya takribani siku 35 Nimepata relapse moja Kali Sana nikajichukulia Sheria mkononi,
Mwanzo niliamua kuacha porn na puli kwanza Ila sex niendelee na nakumbuka nilisex Kama Mara sita au Saba hivi Basi, baadae nikahamasika nayo niiache, nikaazimia kufanya sperm retention Kabisa na nikaacha rasmi vyote porn, puli na sex.
Daa, mwanangu ww kama mm....nilijitunza muda mrefu...ila siku moja paaa...nikaanguka...nikajichua...daah,,roho iliniumaaa kinyaaama...ila nimeanza tena upyaa...naamini this time sitoanguka
 
Hivi mnajua theory ya use and disuse mazee ...

"The more you use your body part,that part become more strong and perfect "

"The way you disuse your body part that part become weak and functionless finally disappear"

Wanabiologia walienda mbali nakusema zamani kabisa ostrich (mbuni) alikuwa na mabawa ya kuweza kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine lakin alivokaa mazingira ambayo hayamsupport kuruka kwa muda mrefu mabawa yake yalikuwa weak na functionless ndio maana mpaka Sasa mbuni ana mabawa ila hawezi kupaa kama ndege wengine ...." Disuse of body part"

Twiga alikuwa na shingo fupi lakini baada ya ukame mkubwa na majani kuisha chini ya ardhi alianza kula majani ya mti na kitendo cha kuanza kuwa anaforce shingo yake kwenda juu mpaka Leo ile shingo imekuwa ndefu "use of body part"

Kwa maelezo zaidi kasome kitabu cha biology form 3 Kuna topic inaitwa "theory of origin and development".....

Sasa kwa nyie mnaotaka kukaa miaka hamfanyi Nina uhakika mnadhoifisha Hilo eneo na linaenda kuwa weak ....


Kumbuka " practice make more perfect " .....
Hii theory mbona kitambo walisha iprove wrong....acquired characteristics can never be inherited....yani ww ukipiga chuma ukajaza kifua maisha yakoo yoote...huwezi kuja kuzaa baunsa....kwa hiyo theory ya use na disuse ktk evolution ni uwongo
 
Back
Top Bottom