Keshoyangu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2021
- 365
- 1,082
Ni hiyohiyo NofapJe kwa mwanamke inaitwaje?
No porn, no masterbation/fap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hiyohiyo NofapJe kwa mwanamke inaitwaje?
[emoji23]Baada ya siku 28 nimeanguka ila naahidi kuwa nitasimama tena. Aluta kontinyua [emoji123]
Hili pambano ni gumu sana mkuu asikudanganye mtu. This is not only a physical fight but also (and to a large extent) a psychological and spiritual one. Tuendelee kupambana huku tukitumia kila aina silaha. Tutafanikiwa tu! [emoji123][emoji123][emoji23]
Siachi kuendeleaHili pambano ni gumu sana mkuu asikudanganye mtu. This is not only a physical fight but also (and to a large extent) a psychological and spiritual one. Tuendelee kupambana huku tukitumia kila aina silaha. Tutafanikiwa tu! [emoji123][emoji123]
👏👏👏👏👏
Sure nikiingia twiter lazima nidindishe, kama sio picha utakutana na story za mapenzi yaan tabu kweli kweliNa hii challenge huwa ni ngumu zaidi kama ktk simu yako una Instagram, telegram sikuhizi na Twitter content za porn zipo za kutosha
Kama zipiWakuu mi hii challenge naona ina faida sana. Kikubwa usijidanganye tu
Kwa hyo mkuu controla unashauri tuendelee kuchakata tuIts Possible 100% i have my testimony (miaka ile najinyima), hii kitu iko good sana
ila niliamua kuachana nayo kutokana na sababu i need kids
and not just kids but as many as i can atleast 10 so challenge ikanshinda
we all know that Daily sex keeps sperm healthy and improves chance of pregnancy,so kwa hili hapana siliwezi.
Yes boss! kwasisi tunaohitaji watoto hiyo challenge sio salama kwa afya yetuKwa hyo mkuu controla unashauri tuendelee kuchakata tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi nimefikisha miwili mkuu.Taratibu ntafika tu
Lengo langu ni kutoboa huu mwaka sijatoa manii kwa njia za makusudiView attachment 2333622
Huko kote utake asilimia kubwa mpk utake mwenyewe mimi niliunfollow Wakina Uwoya ,Mobeto nk nikaacha page za michezo,habari na Elimu tu .Na hii challenge huwa ni ngumu zaidi kama ktk simu yako una Instagram, telegram sikuhizi na Twitter content za porn zipo za kutosha
Miaka 2 mkuu au miezi 2?Mimi nimefikisha miwili mkuu.
Miaka 2 mpk sasa sihesabu kabisa nasonga mbele nakaribia kuoa Mwenyezi Mungu anasaidia,kabla ya hapo nilianguka sana niliwahi kufika mpk miezi mi3 naanza upya kabla ya kuweka azma kubwa kama kula kiapo kigumu.Miaka 2 mkuu au miezi 2?
Ndo yeye alisema amebadili IDMuanzisha uzi si bafetimbi mbona miandiko tofauti ?
Haha dah bila kuzitoa kivovote?Mimi nimefikisha miwili mkuu.