Habarini wakuu,
Binafsi nimeamua rasmi kuingia kwenye hili zoezi la "No FAP challenge", zoezi ambalo linahusisha kutomwaga au kutoa manii zangu iwe kwa sex ama kwa punyeto.
Zoezi hili litaambatana na sala na dua za kutosha maana ni jambo la kheri na pia ni moja ya njia ya kumuepuka shetani kwa sisi tusio kuwa na wake.
Pia nahitaji kuwa mentally, physically, emotionally as well as economically strong hivyo naamini no fap inaweza kuwa suluhisho kwa namna moja ama nyingine, na pia itaniwezesha kufikia huko kwa hatua fulani.
Nashkuru sana, naamini nitafanikiwa, dua zenu ni muhimu.
SHUKRAN.