Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ule mtandao wa kishenzi snaa [emoji23] kuna page lazima utaishia kujilipua tu au kudinda sanaa

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Niliingia kumcheck kigogo na sasa katika kuchambuachambua comments nkaliona dada hilo limejaa kwl kulifuatilia ikawa kosa nkawa napitapita kwa followers mpaka nikakuta clip za kushonana shughuli ndo ikaishia apo[emoji119]
 
Fuata nyuki ule asali.

Kimsingi nimekaa siku zaidi ya hizi 98, nilianza challenge takribani 7 kabla ya kupakua App.
 

Attachments

  • IMG_2975.png
    IMG_2975.png
    609.9 KB · Views: 27
Habarini wakuu,

Binafsi nimeamua rasmi kuingia kwenye hili zoezi la "No FAP challenge", zoezi ambalo linahusisha kutomwaga au kutoa manii zangu iwe kwa sex ama kwa punyeto.

Zoezi hili litaambatana na sala na dua za kutosha maana ni jambo la kheri na pia ni moja ya njia ya kumuepuka shetani kwa sisi tusio kuwa na wake.

Pia nahitaji kuwa mentally, physically, emotionally as well as economically strong hivyo naamini no fap inaweza kuwa suluhisho kwa namna moja ama nyingine, na pia itaniwezesha kufikia huko kwa hatua fulani.

Nashkuru sana, naamini nitafanikiwa, dua zenu ni muhimu.

SHUKRAN.
 
Bora ujifunze kugonga bila kuejaculate...Ina faida nyingi kuliko hiyo Yako...you can sex hata mara 3kwa week laki unaejaculate once after 10 or 20 days
Unajifunzaje hio mkuu?
 
Back
Top Bottom