BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Members wa No Fap tunaonekana watu wa ajabu humu.Mapambano yanaendelea mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Members wa No Fap tunaonekana watu wa ajabu humu.Mapambano yanaendelea mkuu.
Zile ndoto nyevu mnazihesabiaje? Ufafanuzi tafadhali..NoFap fap fap fap...Members wa No Fap tunaonekana watu wa ajabu humu.
[emoji23][emoji23][emoji23]°Taarifa,
muasisi wa no Fap challenge, Katia mimba huko,na Kila wiki anagonga mademu watano, nimeamini hii challenge sio ya mchezo inahitaji commitment ya kiwango Cha juu Sana.
Hii challenge ukifika mwisho unaishia kuwa shoga.°Taarifa,
muasisi wa no Fap challenge, Katia mimba huko,na Kila wiki anagonga mademu watano, nimeamini hii challenge sio ya mchezo inahitaji commitment ya kiwango Cha juu Sana.
°niko kwenye challenge tangu mwaka Jana mkuuunacheza na nyege wewe
°sio kweli kiongozi, wanaume halisi tunahimiliHii challenge ukifika mwisho unaishia kuwa shoga.
°Taarifa,
muasisi wa no Fap challenge, Katia mimba huko,na Kila wiki anagonga mademu watano, nimeamini hii challenge sio ya mchezo inahitaji commitment ya kiwango Cha juu Sana.
-jamaa amenikatisha tamaa sana aisee, huwezi amini humu JF kapata wafuasi wengi sana ila ndio hivyo ana asili ya umalayaHahah
Sasa ikitokea ukapata ndoto una sex na ukaanza kumwaga usingizini unafanyaje kuzuia mbegu zako zisitoke?Wasalam wadau. Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati.
Kwa wale wasioelewa maana ya neno NoFap.
NoFap ni kitendo cha mwanaume kukaa kwa muda wa kipindi fulani eidha miezi miwili, mitatu mpaka miezi sita pasipo kutoa mbegu zake za kiume yaani hiyo challenge msingi wake ni No Sex, No Masturbationn, No Watch Porn.
Hii ina faida nyingi sana yaani ni sawa na kujirestart mfumo wako mzima wa mwili ukitoka hapo unakuwa mpya kabisa, hasa ukikaa miezi kuanzia mitatu mpaka sita.
Niombeeni wadau katika hiu challenge ambayo nimeianza leo hii mara baada ya kushusha thread hii, sio rahisi hasa kama ulizoea kula mbasusu kwa mwezi zaidi ya mara kumi kama mimi, lakuni naamini nitashida hii challenge.
Mambo ya kumwaga mwaga mbegu bila sababu za msingi eti kisa utamu mwisho leo. Na nimeifalia sana hii ishu ya NoFap baada ya kuiona kwa mara ya kwanza mitandaoni huko na ziliiridheshwa faida nyingi sana za hii kitu na kuna baadhu ya wanasayansi wakubwa mambi yao yalifanikiwa zaidi baada ya kujiunga na hii kitu, mmoja wa wanasayansi mashuhuri ninaowakubali waliowahi kutumia huu mfumo wa NoFap ni Nikola Tesla jamaa mpaka anakufa alikuwa hamwaga mbegu zake kwa zaidi ya miaka mitatu,
Mimi nataka nianze na miezi mitatu kwanza.
If you want to reborn you are kindly welcome to the challenge.
Pia soma: Tulioshindwa kuhimili makali ya 'NoFab Challenge' tukutane hapa
Tutampinga tu kwa nguvu zoteNilifikisha siku 55 na nilikua na lengo la kufikisha miezi mitatu ila dah! shetani ana nguvu sana,sio rahisi kiivyo
sasa
Sasa ikitokea ukapata ndoto una sex na ukaanza kumwaga usingizini unafanyaje kuzuia mbegu zako zisitoke?
Hujambo broSiachi kuendeleaView attachment 2489421
Siachi kuendeleaView attachment 2489421