Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

Ili uweze kustahimili una hitaji[emoji116]
1.𝗞𝘂𝗷𝘂𝗮 𝗺𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗮 𝘆𝗮 𝘂𝗻𝗮𝗰𝗵𝗼𝗸𝗶𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮
[emoji3591]Sababu kama ukiona unachokifanya hakina madhara basi utaona hakuna haja ya kuacha utamu unao upata.

2 .𝗨𝗮𝗺𝘂𝘇𝗶 𝘂𝗹𝗶𝗼 𝗱𝗵𝗮𝗯𝗶𝘁𝗶 , yani fanya maamuzi kutoka moyoni kwamba naacha hichi kitu kwanzio leo mpaka muda fulani(hata kitokee nini)
[emoji3591]Maana ukiamua kuacha ndo unashangaa kuna vitu vinatokea tu ili mradi urudi kule kule.

3 .𝗠𝘂𝗻𝗴𝘂 , bila Mungu utakuwa unafanya kazi bure
[emoji3591]Muombe sana Mungu naye atakusaidia kwenye safari yako hasa hizi safari za muda mrefu

4. 𝗨𝗯𝘂𝘀𝘆 unasaidia sana kwenye hii challenge , yani utakusaidia muda mwingi usiwaze au kupata muda wa kutaka kufanya hivyo vitu.
Yani hata ukipata muda basi utakuwa unawaza kupumzika tu ili kesho upate nguvu ya kufanya kazi zako.

Ni hayo tu ya umuhimu sana , mengine ni ya kuongezea ongezea.
Hapo kwny UBUSY nakuunga sana mkono kuna wiki mbili hv sitozisahau nlikua nafanya kazi km Mashine na nlikua natembea umbali mrefu knoma kwnda na kurudi Job aiseeee kila nkifka Geto nlikua nawaza kulala tu huezi kuitamani Mbususu kabsaaa...
 
Ukidhamiria unaweza.

Meditation is a key as it gives you consciousness and alertness to your thoughts and habits. Practice it as much as you can.
Eventually you’ll come to a realization that you can control and train your mind how to act and respond to external stimuli but mostly important your internal thoughts is under your own control.

A ship doesn’t sink because of water around it but once the water get in it sinks. Same to your mind, external environment around us is similar to water around the ship but once we allow external turbulence to get into our minds it’s when we sink into toxic habits such pornography, masterbution, random sex etc
Thanks mkuu 🤝
 
Back
Top Bottom