Kila Abiria na wahudumu wake wawili.Hiii! Nahene!
Mbona wahudumu ni wengi kuliko abiria?
Chupi, taulo na suti ya kubadilisha.Sasa vibegi vya nini?
Hivi hiyo treni inaanza lini huduma...
Naona mbwembwe ni nyingi mno
NishakuwahiKuna kahudumu apo ntakatafuta namba 2 kutoka nyuma, ako wakuu niachieni
Mungu ampe pumziko la Amani Dr Magufuli huko aliko.Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
View attachment 2969892View attachment 2969893View attachment 2969894View attachment 2969895View attachment 2969896View attachment 2969897
Af wako gender biased. Mbona wahudumu wa kiume siwaoni?Kila Abiria na wahudumu wake wawili.
Kuna kahudumu apo ntakatafuta namba 2 kutoka nyuma, ako wakuu niachieni
Sio yeye. Tulishaanza kukatwa railay development levy toka enzi za Kikwete ili kujenga reli mpya.Mungu ampe pumziko la Amani Dr Magufuli huko aliko.
Ila nalo swala.. ngoja Tanzania Railways Corp atujibuAf wako gender biased. Mbona wahudumu wa kiume siwaoni?
Wana smile leo ni uzinduzi, siku zijazo wataanza kuwalamba makofi wasafiri kama wale wa reli ya katiHivi hiyo treni inaanza lini huduma...
Naona mbwembwe ni nyingi mno
Yaani ukutane nacho afu ww sio celebrity.Vinajichekesha kama visokwe lakini katika uhalisia vinakuwaga vijeuri sana.
Mungu ampe pumziko la Amani Dr Magufuli huko aliko.