Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

Hawajaanza kazi ila kabisa naona sura zao ni visirani , na stress sijui nani kachagua wapare kwenye customer service 😂 (watani natania)

Wafanye kazi shida ya wabongo wakishazoea kazi wanatajikuta kama treni la mabwana zao
 
Back
Top Bottom