Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

Hawajaanza kazi ila kabisa naona sura zao ni visirani , na stress sijui nani kachagua wapare kwenye customer service πŸ˜‚ (watani natania)

Wafanye kazi shida ya wabongo wakishazoea kazi wanatajikuta kama treni la mabwana zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…