Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

Inatakiwa huduma ziwe nzur waache kuangalia sura hawa wanawake wanakuwaga na kauli chafu
 
Pamoja na mbwembwe zote hizi lakin repoti ya CAG inaonyesha shirika linaendeshwa kwa hasara kubwa
 
Wote hao wametoka kwenye vikundi vya wanaccm uhamashishaji, ukitaka kuwajua viongozi wa CCM na serikali pitia kwa hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…