Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu View attachment 2093093View attachment 2093094

View attachment 2093095

CABD6275-64C6-4D1B-BADD-EF7C3689AB1B.jpeg
 
Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam.
usiwapangie watu mtu wakupenda bwana kama wewe hukumpenda basi , na kumuelewa kwako Magufuli siyo walivyomuelewa wengine au unatakusema wewe ndiye mwenye akili kuubwa na nyiiingi kuzidi wale watu waliookuwa wanajaa mabarabarani kutatuliwa shida zao au unadhani wewe ndiye unayejua zaidi ya wale watu walijaa mabarabarani wakilia na kutandika nguo na mashati siku wakimuaaga.
mkuu acha ujinga
kama wewe humpendi basi waache wanaompenda.
 
Kunywa kinywaji roho yako inapenda. Magufuli atabakia tu kuwa ni Mwongo, Mwizi, muuaji na mvuruga uchumi wa Tanzania.

Tunashukuru Mungu kwa kutuondolea duniani Shetani yule
wewe sindiyo yule asikari magereza babu wakule butimba ulikuwa ukionea wafungwa.
tunajua alivyokufanya magu ndiyo maana humpendi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Na kweli mlibomoa Kwa kupandikiza fitna chuki na SIASA chafu na propaganda za KITOTO mara kuokota vichwa vya treni mara kununua mapapai barabarani na kuhonga vihela ktk misafara TULIKUA TUNATAWALIWA NA WASHAMBA
Mama sasa anaupiga mwingi mmechanganyikiwa
eti na wewe great thinker duh
itakuwa great toilet thik[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kila siku huwa tunawaambia leteni ushahidi kuwa yeye ndiye alihusika kwa yote hayo , ila huwa mnaishia kulialitu .
satuwasaidie nini .
Hawawezi kuthibitisha yasiyokuwepo.

Their motive is nothing but smearing campaign.
 
Vitu vimepanda bei Kwa sababu pesa ipo mtaani.

Wakati wa jiwe vitu vilikuwa bei chee Kwa sababu hela haikuwepo na vyuma vilikaza.

Wakati huu vitu bei juu ila hela ya kununua ipo.

Kariakoo sasahivi biashara ni kama zamani.
nni maana yako hapo yaaani pesa ipo ila thamani haina siyo! kwa anko pesa ilikuw na thamani ndiyo maana vitu vilikuw chini siyo.
 
Post nyingi ni za kumtukana na kumdharau, alikuwa Raisi wa hovyo sana
 
Baba yako wa Chato hakuruhusu kuiba wengine ila ikawa ni halali yake kuiba na kikundi chake cha kabila lake. CAG Prof Assad alimkuta na upotevu wa Tsh 2.4 Trillion kwa miaka 2016-18. Akaishia kimtoa kazini.

Acheni UJINGA wa kuamini kuwa Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge. Tanzania haijawahi kupata Rais mwizi kuIzidi Magufuli
Alikuwa kibaka wa hali ya juu, akitumia dola kuzuia watu wasimuwajibishe
 
Back
Top Bottom