Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?


 
usiwapangie watu mtu wakupenda bwana kama wewe hukumpenda basi , na kumuelewa kwako Magufuli siyo walivyomuelewa wengine au unatakusema wewe ndiye mwenye akili kuubwa na nyiiingi kuzidi wale watu waliookuwa wanajaa mabarabarani kutatuliwa shida zao au unadhani wewe ndiye unayejua zaidi ya wale watu walijaa mabarabarani wakilia na kutandika nguo na mashati siku wakimuaaga.
mkuu acha ujinga
kama wewe humpendi basi waache wanaompenda.
 
Kunywa kinywaji roho yako inapenda. Magufuli atabakia tu kuwa ni Mwongo, Mwizi, muuaji na mvuruga uchumi wa Tanzania.

Tunashukuru Mungu kwa kutuondolea duniani Shetani yule
wewe sindiyo yule asikari magereza babu wakule butimba ulikuwa ukionea wafungwa.
tunajua alivyokufanya magu ndiyo maana humpendi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
eti na wewe great thinker duh
itakuwa great toilet thik[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kila siku huwa tunawaambia leteni ushahidi kuwa yeye ndiye alihusika kwa yote hayo , ila huwa mnaishia kulialitu .
satuwasaidie nini .
Hawawezi kuthibitisha yasiyokuwepo.

Their motive is nothing but smearing campaign.
 
Vitu vimepanda bei Kwa sababu pesa ipo mtaani.

Wakati wa jiwe vitu vilikuwa bei chee Kwa sababu hela haikuwepo na vyuma vilikaza.

Wakati huu vitu bei juu ila hela ya kununua ipo.

Kariakoo sasahivi biashara ni kama zamani.
nni maana yako hapo yaaani pesa ipo ila thamani haina siyo! kwa anko pesa ilikuw na thamani ndiyo maana vitu vilikuw chini siyo.
 
Post nyingi ni za kumtukana na kumdharau, alikuwa Raisi wa hovyo sana
 
Alikuwa kibaka wa hali ya juu, akitumia dola kuzuia watu wasimuwajibishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…