Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Huku ukija ni raha tupu, hutamani kuondoka 😂Kwakweli... upepo mwanana unavuma tu huku.. haha
Huku ukija ni raha tupu, hutamani kuondoka 😂Kwakweli... upepo mwanana unavuma tu huku.. haha
Dawa ya moto ni moto mkuu,Tatizo ni nikiwa na hamu ya kupewa tendo la ndoa na inabidi niisubirie labda mhusika amesafiri au niko period huwa najikuta natamani na nakula sana kula vitu vya sukari nyingi na naskip mazoezi kabisa, kiufupi self control inakua haipo kabisa.
Yeah, hakika.. umeshapata dawa sasa?Huku ukija ni raha tupu, hutamani kuondoka 😂
Hahaha 😂, wanakupakazia bana.
Yani bado umekuja na hawataamini 😆 😂Hahaha 😂, wanakupakazia bana.
Uko sahihi, ngoja nianze kupitia list yangu ya potential wachakataji!Dawa ya moto ni moto mkuu,
Ukiona hivyo mtunuku mtu aichakate sana utakaa sawa fasta
Bado naitafuta!Yeah, hakika.. umeshapata dawa sasa?
Duh...hivi Hadi Leo unasumbua na mijinyege?Asante stakehigh kwa kutukumbusha kuhusu Afya.
Mimi huwa nafanya mazoezi, najali lishe na si mpenzi wa sukari. Siongezi sukari kwenye chai, kahawa, juisi wala situmii soda au chochote chenye sukari nyingi.
Tatizo ni nikiwa na hamu ya kupewa tendo la ndoa na inabidi niisubirie labda mhusika amesafiri au niko period huwa najikuta natamani na nakula sana kula vitu vya sukari nyingi na naskip mazoezi kabisa, kiufupi self control inakua haipo kabisa.
Niko peke yangu ambaye napatwa na hali hii au huwa inawatokea na wengine?
Kama si sukari, wewe ukiwa na hamu ya tendo la ngono / ny£g£ huwa unatamani vitu gani vingine mbali na mizagamuano?
Vizuri kabisaa,Uko sahihi, ngoja nianze kupitia list yangu ya potential wachakataji!
😂 😂 😆 nilifikiri ninazo, ila nimeambiwa humu kwamba nina shida ya kisaikolojia.Mshangazi una genye?
Kwenye hiyo list upo juu kabisa 😂Vizuri kabisaa,
Kwenye hiyo list usinisahau, nije niitandike hadi itoe moshi
Tusipende kuwaaminisha vikaragosi.Yani bado umekuja na hawataamini 😆 😂
Njoo nikupe sasa..Bado naitafuta!
Nisaidie kujua naweza nunua wapi?Nunua Toy, tatizo ukilizoea mwanaume wako utamwona useless
Kabisa mupenziiiiTusipende kuwaaminisha vikaragosi.
Sisi tusonge mbere!
Nije wapi?Njoo nikupe sasa..
I takua hazijatolewa vizuri zikaisha 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Duh...hivi Hadi Leo unasumbua na mijinyege?
Lazima, hiyo.. kushinda nae siku mzimaaaa ndani ana dance tu 😅😅Afe kipa, afe beki, ushindi lazima au siyo? 😂 😂 😆