DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Duh inasikitisha sana .Mkuu haya mambo ni kweli hasa ushabiki wa timu za Kariakoo. Zimewafanya watu kupata temporary comfort kwa timu inayoshinda lakini ukiangalia kwa makini mashabiki wake wa kutupwa wana matatizo ya akili.
Kuna jamaa yangu last week mke wake shabiki wa Yanga kafa, baada ya Yanga kushinda alikuwa kama kachanganyikiwa anakimbia, anashangilia, kupayuka sana. Kufika jioni saa 2 kaanguka kapoteza uhai.
Kimsingi kutafuta relief kwa vitu kama vinavyofanywa na hii I'd sio suluhisho. Ningekuwa namjua ningempa counseling au ningempa kitabu ili aweze kuondokana /kupunguza hali anayoipitia
Tatizo la matatizo ya akili mgonjwa anakuwa hajitambui Kama anaumwa .