Nimeona uzi humu, ukanikumbusha hali inayonitokea, je niko mwenyewe?

Tatizo ni nikiwa na hamu ya kupewa tendo la ndoa na inabidi niisubirie labda mhusika amesafiri au niko period huwa najikuta natamani na nakula sana kula vitu vya sukari nyingi na naskip mazoezi kabisa, kiufupi self control inakua haipo kabisa.
Dawa ya moto ni moto mkuu,
Ukiona hivyo mtunuku mtu aichakate sana utakaa sawa fasta
 
Duh...hivi Hadi Leo unasumbua na mijinyege?
 
Mshangazi una genye?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜† nilifikiri ninazo, ila nimeambiwa humu kwamba nina shida ya kisaikolojia.
Niko njia panda, sijui hata nianze kutatua issue ipi πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…