Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

Kuna sababu nyingi hapo, inawezekana hakuwa hata na hilo wazo la kujirusha wakati akipanda boti, wazo limemkuta huko huko baada ya kuzikumbuka changamoto zilizoko mbele yake, ndio akaona hapana, bora safari ya maisha yangu iishie hapa.

He paid 35,000/= for his death, kweli siku hizi hakuna kitu cha bure.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…