Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

Kuna sababu nyingi hapo, inawezekana hakuwa hata na hilo wazo la kujirusha wakati akipanda boti, wazo limemkuta huko huko baada ya kuzikumbuka changamoto zilizo mbele yake, ndio akaona hapana, bora safari ya maisha yangu iishie hapa.

He paid 35,000/= for his death, kweli siku hizi hakuna kitu cha bure.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Inaelekea ana majanga yake mengi yanamzonga kabla ya kupanda boti maana Kwa kuiangalia clip unaona ameinuka baadae mtu alikuwa jirani akashituka kufuatilia (inaonekana wapo wote, hapa unaonyesha kama jamaa may be hayupo sawa kiafya hivyo jamaa kama akataka kujua kulikoni kainuka anakwenda wapi na Hali yake).
N:B. Sina uhakika ila nimetengeneza hisia kulingana na video.
 
Back
Top Bottom