Ukiitazama hiyo Video utagundua haya:
1. Mhanga hakuwa normal. Ni kama mgonjwa wa akili au alikuwa kwenye ulevi hivi.
2. Mhanga alikuwa amedhamiria kufanya hivyo.
3. Ni mtu mwenye ufahamu kuhusu kuogelea. (Diving posture yake inatoa taswira hiyo)
4. Kuna mtu alikuwa anamchunga muda wote, ni kama alimtoroka hivi.
FUNDISHO.
-Wagonjwa wa akili tusiwafiche, tuwaweke wazi kwa jamii, na jamii ijipange kuwasaidia na kuwalinda.
-Watoa huduma kwenye vyombo vya majini wanapaswa kuwa na tahadhari kubwa zaidi ili kuepusha matukio ya style hiyo.