Nimeona video ya kijana akijirusha kwenye boat ya Zanzibar fast ferries, nini kilijiri?

[emoji848]Huyo alie record ni kama alijua kuna mtu atajirusha akaweka sawa camera
 
kama wa visiwani hali ndo hio na dereva ni wao ,sie wabara sijui hali imekaa vipi
 
Ukiitazama hiyo Video utagundua haya:
1. Mhanga hakuwa normal. Ni kama mgonjwa wa akili au alikuwa kwenye ulevi hivi.

2. Mhanga alikuwa amedhamiria kufanya hivyo.

3. Ni mtu mwenye ufahamu kuhusu kuogelea. (Diving posture yake inatoa taswira hiyo)

4. Kuna mtu alikuwa anamchunga muda wote, ni kama alimtoroka hivi.

FUNDISHO.
-Wagonjwa wa akili tusiwafiche, tuwaweke wazi kwa jamii, na jamii ijipange kuwasaidia na kuwalinda.
-Watoa huduma kwenye vyombo vya majini wanapaswa kuwa na tahadhari kubwa zaidi ili kuepusha matukio ya style hiyo.
 
Acheni fikra za kishirikina ukiona shida suicidal kama hivyo...tafuteni real reason na msuluhishe sio mnawaza uchawi
Ninachosema nilikishuhudia hakika, kwa vile sikuona mtu akishangaa mwenzetu kurukia ndani ya maji ikanilazimu nikae kimya huku nikijiuliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…