Binadamu huwa haishiwi mbinu mbadala za kupambana na hila.Ipo na itapatikana namna tu.Labda siyo binadamu.Kwa uwezkezaji wa mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Kwani hivo vitu ni mali binafsi za watu au ni mali za Chama?Kwa uwezkezaji wa mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Hivi unajua walivipataje. Una very short memory ama ni ushabiki tuKwani hivo vitu ni mali binafsi za watu au ni mali za Chama?
Kama ni mali binafsi basi upo sawa ila kama ni mali za Taasisi hawana sababu ya kuwa na hofu
Jenga hoja ueleweke.Hivi unajua walivipataje. Una very short memory ama ni ushabiki tu
CCM ikipoteza madaraka itapoteza udhibiti wa mali zake pia, CCM kinaweza kudhibiti mali zake kupitia dola, chama cha kawaida cha siasa hakiwezi kuwa na mali za biashara au kuzalisha mali, kinaweza kumiliki Ofisi tu. Kuna mali nyingine pia zina utata mkubwa sana kwa sababu zilipatikana enzi za za chama kimoja kwa hiyo zinahesabika kama za umma, hizi zinaweza kunyang'anywa na kurudishiwa serikalini, kuna viwanja vilikuwa vya umma vikaenda CCM kwa njia zisizoeleweka navyo vitarudishwa serikalini CCM ikipoteza dola.Kwani hivo vitu ni mali binafsi za watu au ni mali za Chama?
Kama ni mali binafsi basi upo sawa ila kama ni mali za Taasisi hawana sababu ya kuwa na hofu
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.Kwa uwezkezaji wa mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Hayo yote nayajua. Issue ni kwamba hizo mali zipo kwa maslahi ya chama au maslahi ya watu binafsi ndani ya Chama.CCM ikipoteza madaraka itapoteza udhibiti wa mali zake pia, CCM kinaweza kudhibiti mali zake kupitia dola, chama cha kawaida cha siasa hakiwezi kuwa na mali za biashara au kuzalisha mali, kinaweza kumiliki Ofisi tu. Kuna mali nyingine pia zina utata mkubwa sana kwa sababu zilipatikana enzi za za chama kimoja kwa hiyo zinahesabika kama za umma, hizi zinaweza kunyang'anywa na kurudishiwa serikalini, kuna viwanja vilikuwa vya umma vikaenda CCM kwa njia zisizoeleweka navyo vitarudishwa serikalini CCK ikipoteza dola.
Museveni alishasema hadharani kabisa kuwa hawezi kutoka kwa njia ya makaratsi bali atatoka kwa nyundo maana yeye ni kotapini.Kwa uwezkezaji wa mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Mali zote zilizokiwepo kabla ya mwaka 1992 ni mali za watanzania wote bila kujali itikadi za chama kwani kipindi kile kila mradi wa chama ulikuwa unategemea nguvu za wananchi.CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Ndio,but only after 39 years in power and immense internal pressure. Na wakati wa kuondoka, walikuwa wamechoka na walikuwa wamegawanyika.KANU ilikabidhi madaraka kwa amani.
Wenye hofu ni wale wanaoingoza hio taasis yaani wanamtandaoKwani hivo vitu ni mali binafsi za watu au ni mali za Chama?
Kama ni mali binafsi basi upo sawa ila kama ni mali za Taasisi hawana sababu ya kuwa na hofu
Uko sahihi, na wengi wanaofaidika na hivyo vitega uchumi vya ccm hawana ujanja nje ya mbeleko ya dola. Ccm ikipoteza dola vingi vitafubaa ama hata kufa kama vilivyokufa viwanda na mashirika ya umma.CCM ikipoteza madaraka itapoteza udhibiti wa mali zake pia, CCM kinaweza kudhibiti mali zake kupitia dola, chama cha kawaida cha siasa hakiwezi kuwa na mali za biashara au kuzalisha mali, kinaweza kumiliki Ofisi tu. Kuna mali nyingine pia zina utata mkubwa sana kwa sababu zilipatikana enzi za za chama kimoja kwa hiyo zinahesabika kama za umma, hizi zinaweza kunyang'anywa na kurudishiwa serikalini, kuna viwanja vilikuwa vya umma vikaenda CCM kwa njia zisizoeleweka navyo vitarudishwa serikalini CCK ikipoteza dola.
Haina mali,ila mali za taifa yaani zakwangu na wewe na yule wamezipa jina feki kama mali za ccm.Kwa uwezkezaji wa mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
KANU pia haikuwahi kumiliki mali kama inazomiliki CCM, Jomo Kenyatta alikuwa busy zaidi kuimarisha utajiri wa familia yake kuliko wa chama.Ndio,but only after 39 years in power and immense internal pressure. Na wakati wa kuondoka, walikuwa wamechoka na walikuwa wamegawanyika.
CCM NI NANI?CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Watu binafsi pia watajizolea mali zake na hakuna kitu watafanywa, sasa hivi wana cha kuwafanya kwa sababu ya dola kama Rostam alivyony'ang'anywa Magic FM na Channel 10.Uko sahihi, na wengi wanaofaidika na hivyo vitega uchumi vya ccm hawana ujanja nje ya mbeleko ya dola. Ccm ikipoteza dola vingi vitafubaa ama hata kufa kama vilivyokufa viwanda na mashirika ya umma.
Sana. Halafu mali hata Mobutu Soseseko na wafuasi wake walikua nazo. Ziliyeyuka kama barafu walipobananishwa ndani ya muda mchache.Binadamu huwa haishiwi mbinu mbadala za kupambana na hila.Ipo na itapatikana namna tu.Labda siyo binadamu.