bila kusahau mizizi iliyojichimbia UPANDE WA KIROHO mazindiko matambiko makafara,bila kusahau historia ya kuwasha na kukimbiza mwenge ,bila kuwasahau wazee wa daresalam akina she yahya n.k
Lakini hawafikii hata punje ya nguvu za uchawi na za Waganga wa Farao.
Mungu hua anatoa muda kwa watu kama CCM kujirudi kwa njia za amani,wakikaza shingo Mungu hurusha Panga lake.
Kumbuka nguvu ya Farao na Jeshi lake na Waganga wake .
Mungu alitenganisha bahari,ikapatikana njia,watu wa Mungu wakapita katika njia hiyo,Jeshi la Farao likaingia na Kila aina ya silaha kuwafuata watu wa Mungu.
Watu wa Mungu walipofika nchi kavu,Mungu akarudisha Maji,yakawafunika wanajeshi wa Farao wakafa wote vikosi vyote na farasi wao,na silaha zao na Kila kitu chao,imebaki historia.
Kama wewe huamini Mungu,basi sema TU, Nguvu kuu iliyafanya hayo ninayoyasimulia hapa.
Nguvu hii inasikia,inaonesha na inakereka.
Nguvu hii ndio iletayo faraja na maangamizi.
Mfano huleta Mvua,jua, na neema zote,lakn pia huleta madhoruba kama matetemeko,mafuriko,vimbunga,ukame n.k ili kuwakumbusha wanadamu kua Mimi Ndie.,yaani nguvu ilikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo.
Hii ni Kwa wasioamini uwepo wa Mungu.
Lakini Mimi nasema CCM waroge wawezavyo lkn hawawezi kuyashinda Mamlaka ya Mungu ambae Sasa hivi amewachoka.