Nimeona yote; CCM haitaondoka madarakani kwa kura

Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.

CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Great. Taratibu umeanza kuelewa. Yote hayo ni peanuts. Kubwa ni kuachia umiliki wa Hazina, BOT, nchi na vyote vilivyomo bila mikwaruzo.

Mkuu ni muhimu sana uifahamu CCM (in its full context) kabla hujaelewa mali zote inazomiliki. Naona umeirahisisha sana. Viwanja, majengo, migodi tu? Hata wewe na vyote ulivyo nayo inakumiliki. Ndio maana inabidi uwe anonymous hapa ili kuelewa ukweli.

It is a monster.
 
CCM hakijaona chama cha kukiachia madaraka na hakipo kwasasa, Siku CCM ikipata chama cha kushindana na kikaweza kuiondoa CCM, CCM itakubali matokeo..Hivo basi hayo hayawezi kutimia mpaka mifumo ya vyama ibadilishwe ndipo kuna chama kipya kitaishinda CCM, Sambamba na kufumua mifumo yote kandamizi..ila kwasasa hakuna cha CHADEMA, ACT WAZALEND,CHAUMMA,SAU na n.k Kitakachoweza kuiondoa CCM Never !never !never ! Nahicho chama kitakacho ifumua CCM moja ya mwanzilishi awe zao la CCM.
 
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.

CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Umechelewa sana kulijua hilo,ccm kamwe haiwezi kuomdoka madarakani kwa sanduku la kura,mtu anayeenda kupiga kura either ni mpumbafu au hajielewi.
 
Hakuna kitu kinacho dumu utafika mda itaondoka tu na itachukua siku chache tu kupoteza vile walivyo vilinda kwa miaka yote iyo
 
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.

CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Huo ukwasi Una nguvu kuliko nguvu ya umma?.
 
CCM hakijaona chama cha kukiachia madaraka na hakipo kwasasa, Siku CCM ikipata chama cha kushindana na kikaweza kuiondoa CCM, CCM itakubali matokeo..Hivo basi hayo hayawezi kutimia mpaka mifumo ya vyama ibadilishwe ndipo kuna chama kipya kitaishinda CCM, Sambamba na kufumua mifumo yote kandamizi..ila kwasasa hakuna cha CHADEMA, ACT WAZALEND,CHAUMMA,SAU na n.k Kitakachoweza kuiondoa CCM Never !never !never ! Nahicho chama kitakacho ifumua CCM moja ya mwanzilishi awe zao la CCM.
Unamaanisha CCM ni chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine vya siasa? Just like that?
 
CCM hakijaona chama cha kukiachia madaraka na hakipo kwasasa, Siku CCM ikipata chama cha kushindana na kikaweza kuiondoa CCM, CCM itakubali matokeo..Hivo basi hayo hayawezi kutimia mpaka mifumo ya vyama ibadilishwe ndipo kuna chama kipya kitaishinda CCM, Sambamba na kufumua mifumo yote kandamizi..ila kwasasa hakuna cha CHADEMA, ACT WAZALEND,CHAUMMA,SAU na n.k Kitakachoweza kuiondoa CCM Never !never !never ! Nahicho chama kitakacho ifumua CCM moja ya mwanzilishi awe zao la CCM.
Na wala hakitakaa kione.
 
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.

CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Wakumtoa CCM madarakani bado hajaja. CCM hatatolewa madarakani kwa matusi, jazba, vitisho, maneno makali au mihemko, huko keshavuka. CCM alishapambana hizo vita tangu miaka ya 95 na vyama ambavyo sasa hivi havipo kwenye ramani na alishinda. Wapinzani wake wanaendana na muda na technolojia kutoka Magazeti, Radio, TV na sasa Social Media ila bado nae anabadirika nao humohumo na kuwashinda hata kwa goli la mkono.

CCM atatolewa kwa mipango na mikaka ya muda mrefu. Sio ya kumka asubuhi na kuandia kwenye kurasa za social media. Atakae mtoa CCM ni yule atakae amua kutengeneza chama kama brand ya muda mrefu na sio “one-five man figure party” CCM anatakiwa kuliwa taratibu. Atakae anzisha mchakato sahihi wa kumtoa CCM anatakiwa akubali kuwa si yeye wala shirika waliomzunguka watakaoshika nchi, bali ni “successors” wao ndio wanaweza kula matunda hayo.
 
Hili ilichelewa kulijua.
 
Mi kitu nachokiona ni inabidi tuombe sana tupate kiongozi mzuri ndani ya CCM 2030. Icho ndo kitu ambacho kinawezekana kwa sasa
 
Ukitafuta mali halali za CCM hazifiki 5% ya mali walizonazo sasa.
 
Wakumtoa CCM madarakani bado hajaja. CCM hatatolewa madarakani kwa matusi, jazba, vitisho, maneno makali au mihemko, huko keshavuka. CCM alishapambana hizo vita tangu miaka ya 95 na vyama ambavyo sasa hivi havipo kwenye ramani na alishinda. Wapinzani wake wanaendana na muda na technolojia kutoka Magazeti, Radio, TV na sasa Social Media ila bado nae anabadirika nao humohumo na kuwashinda hata kwa goli la mkono.

CCM atatolewa kwa mipango na mikaka ya muda mrefu. Sio ya kumka asubuhi na kuandia kwenye kurasa za social media. Atakae mtoa CCM ni yule atakae amua kutengeneza chama kama brand ya muda mrefu na sio “one-five man figure party” CCM anatakiwa kuliwa taratibu. Atakae anzisha mchakato sahihi wa kumtoa CCM anatakiwa akubali kuwa si yeye wala shirika waliomzunguka watakaoshika nchi, bali ni “successors” wao ndio wanaweza kula matunda hayo.
CCM ambayo haitaki jazba, matisho na matusi yenyewe ina jazba, matisho, matusi na kupoteza watu!
 
Hakuna kitu kinacho dumu utafika mda itaondoka tu na itachukua siku chache tu kupoteza vile walivyo vilinda kwa miaka yote iyo
Hakika historia mwalimu mzuri sana kulikuwako na dola ya Rumi (Roman Empire) ilitawala dunia, Songhai, Mali, Kina Mansa Kankan Musa lakini hakiki hawakudumu milele waliondoka hivyo ni muda utatuambia.
 
Simaanishi kwamba CCM haitakaa iondoke madarakani, namaanisha haitaondoka madarakani kwa kura hata isipopigiwa kura.
 
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.

CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Makaburu walikuwa matajiri kuliko ccm
 
Back
Top Bottom