Great. Taratibu umeanza kuelewa. Yote hayo ni peanuts. Kubwa ni kuachia umiliki wa Hazina, BOT, nchi na vyote vilivyomo bila mikwaruzo.Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Chama la majambaziCCM NI NANI?
Tofautisha CCM ni nini na CCM ni nani! ... MAJIBU NI UFUNGUO!Chama la majambazi
Umechelewa sana kulijua hilo,ccm kamwe haiwezi kuomdoka madarakani kwa sanduku la kura,mtu anayeenda kupiga kura either ni mpumbafu au hajielewi.Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Huo ukwasi Una nguvu kuliko nguvu ya umma?.Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Kama issue ni wanamtandao basi lolote liwakute. Maana maslahi yao si maslahi ya Chama au taasisi.Wenye hofu ni wale wanaoingoza hio taasis yaani wanamtandao
Unamaanisha CCM ni chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine vya siasa? Just like that?CCM hakijaona chama cha kukiachia madaraka na hakipo kwasasa, Siku CCM ikipata chama cha kushindana na kikaweza kuiondoa CCM, CCM itakubali matokeo..Hivo basi hayo hayawezi kutimia mpaka mifumo ya vyama ibadilishwe ndipo kuna chama kipya kitaishinda CCM, Sambamba na kufumua mifumo yote kandamizi..ila kwasasa hakuna cha CHADEMA, ACT WAZALEND,CHAUMMA,SAU na n.k Kitakachoweza kuiondoa CCM Never !never !never ! Nahicho chama kitakacho ifumua CCM moja ya mwanzilishi awe zao la CCM.
Na wala hakitakaa kione.CCM hakijaona chama cha kukiachia madaraka na hakipo kwasasa, Siku CCM ikipata chama cha kushindana na kikaweza kuiondoa CCM, CCM itakubali matokeo..Hivo basi hayo hayawezi kutimia mpaka mifumo ya vyama ibadilishwe ndipo kuna chama kipya kitaishinda CCM, Sambamba na kufumua mifumo yote kandamizi..ila kwasasa hakuna cha CHADEMA, ACT WAZALEND,CHAUMMA,SAU na n.k Kitakachoweza kuiondoa CCM Never !never !never ! Nahicho chama kitakacho ifumua CCM moja ya mwanzilishi awe zao la CCM.
kinadharia ndo hiko hivo na ndivo tunavoaminishwa.Unamaanisha CCM ni chama cha siasa kinachoshindana na vyama vingine vya siasa? Just like that?
Wakumtoa CCM madarakani bado hajaja. CCM hatatolewa madarakani kwa matusi, jazba, vitisho, maneno makali au mihemko, huko keshavuka. CCM alishapambana hizo vita tangu miaka ya 95 na vyama ambavyo sasa hivi havipo kwenye ramani na alishinda. Wapinzani wake wanaendana na muda na technolojia kutoka Magazeti, Radio, TV na sasa Social Media ila bado nae anabadirika nao humohumo na kuwashinda hata kwa goli la mkono.Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
CCM ambayo haitaki jazba, matisho na matusi yenyewe ina jazba, matisho, matusi na kupoteza watu!Wakumtoa CCM madarakani bado hajaja. CCM hatatolewa madarakani kwa matusi, jazba, vitisho, maneno makali au mihemko, huko keshavuka. CCM alishapambana hizo vita tangu miaka ya 95 na vyama ambavyo sasa hivi havipo kwenye ramani na alishinda. Wapinzani wake wanaendana na muda na technolojia kutoka Magazeti, Radio, TV na sasa Social Media ila bado nae anabadirika nao humohumo na kuwashinda hata kwa goli la mkono.
CCM atatolewa kwa mipango na mikaka ya muda mrefu. Sio ya kumka asubuhi na kuandia kwenye kurasa za social media. Atakae mtoa CCM ni yule atakae amua kutengeneza chama kama brand ya muda mrefu na sio “one-five man figure party” CCM anatakiwa kuliwa taratibu. Atakae anzisha mchakato sahihi wa kumtoa CCM anatakiwa akubali kuwa si yeye wala shirika waliomzunguka watakaoshika nchi, bali ni “successors” wao ndio wanaweza kula matunda hayo.
Hakika historia mwalimu mzuri sana kulikuwako na dola ya Rumi (Roman Empire) ilitawala dunia, Songhai, Mali, Kina Mansa Kankan Musa lakini hakiki hawakudumu milele waliondoka hivyo ni muda utatuambia.Hakuna kitu kinacho dumu utafika mda itaondoka tu na itachukua siku chache tu kupoteza vile walivyo vilinda kwa miaka yote iyo
Simaanishi kwamba CCM haitakaa iondoke madarakani, namaanisha haitaondoka madarakani kwa kura hata isipopigiwa kura.Hakika historia mwalimu mzuri sana kulikuwako na dola ya Rumi (Roman Empire) ilitawala dunia, Songhai, Mali, Kina Mansa Kankan Musa lakini hakiki hawakudumu milele waliondoka hivyo ni muda utatuambia.
Makaburu walikuwa matajiri kuliko ccmKwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.