Joseph kimlio
JF-Expert Member
- May 18, 2026
- 745
- 1,329
Kinachotakiwa ni "tume huru".Kwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Ipo siku CCM itakuwa kama KANU ya Kenya ni muda tu.CCM ikipoteza madaraka itapoteza udhibiti wa mali zake pia, CCM kinaweza kudhibiti mali zake kupitia dola, chama cha kawaida cha siasa hakiwezi kuwa na mali za biashara au kuzalisha mali, kinaweza kumiliki Ofisi tu. Kuna mali nyingine pia zina utata mkubwa sana kwa sababu zilipatikana enzi za za chama kimoja kwa hiyo zinahesabika kama za umma, hizi zinaweza kunyang'anywa na kurudishiwa serikalini, kuna viwanja vilikuwa vya umma vikaenda CCM kwa njia zisizoeleweka navyo vitarudishwa serikalini CCM ikipoteza dola.
Liko wazi kwa sanduku la kura hawatoki Iła nguvu ya umma hakikaSimaanishi kwamba CCM haitakaa iondoke madarakani, namaanisha haitaondoka madarakani kwa kura hata isipopigiwa kura.
KANU ILIKUA ZAIDI YA CCM KAMANDA LEO KANU HATA KWENYE KUMBU KUMBU HAIPO KABISA KENYA.NI SUALA LA MUDATUKwa uwekezaji na mali inazomiliki CCM nchi hii hakuna siku hiki chama kitakubali kuondoa madarakani kwa kura katika uchaguzi.
CCM kukubali kuondoka madarakani ina maana ni kupoteza ukwasi wake wote wa mali kuanzia viwanja, majengo mpaka migodi, sio kupoteza dola tu.
Yes unaweza kuwa sahihi sana, ila nimezungumzia kuitoa, haijalishi CCM yenyewe ipoje. Bado sijaona mtu au chama chenye plan ya kuitoa CCM madarakani, not any time soon. Hizi zoote zinazoendelwa ni sarakasi tu za majira, majira yakipita wataibuka wengine kupambana CCM hiihii itakayokua bado ipo madarakani wakati huo. INAHITAJIKA PLAN YA MUDA MREFU.CCM ambayo haitaki jazba, matisho na matusi yenyewe ina jazba, matisho, matusi na kupoteza watu!
CCM chini ya uvccm hawezi kukubali kukabidhi nchi kwa watawala wengine kistaatabuKANU ilikabidhi madaraka kwa amani.
KANU ilikabidhi madaraka kwa amani.
Sawa mkuu. Kati ya vitu Nyerere na viongozi wa nchi hii walichofanikiwa sana kwa muda wote tangu uhuru 1961 ni kuwavika Watanzania gunia la delusion kwamba CCM (TANU) ni chama cha siasa! Wapinzani nao wanachakarika majukwaani "kuipiga spana" CCM, eti mshindani wao kisiasa.kinadharia ndo hiko hivo na ndivo tunavoaminishwa.
Ccm ni Dola sio chama cha siasa tena.CCM ikipoteza madaraka itapoteza udhibiti wa mali zake pia, CCM kinaweza kudhibiti mali zake kupitia dola, chama cha kawaida cha siasa hakiwezi kuwa na mali za biashara au kuzalisha mali, kinaweza kumiliki Ofisi tu. Kuna mali nyingine pia zina utata mkubwa sana kwa sababu zilipatikana enzi za za chama kimoja kwa hiyo zinahesabika kama za umma, hizi zinaweza kunyang'anywa na kurudishiwa serikalini, kuna viwanja vilikuwa vya umma vikaenda CCM kwa njia zisizoeleweka navyo vitarudishwa serikalini CCM ikipoteza dola.
Sahihi kabisa..Sawa mkuu. Kati ya vitu Nyerere na viongozi wa nchi hii walichofanikiwa sana kwa muda wote tangu uhuru 1961 ni kuwavika Watanzania gunia la delusion kwamba CCM (TANU) ni chama cha siasa! Wapinzani nao wanachakarika majukwaani "kuipiga spana" CCM, eti mshindani wao kisiasa.
Wake up guys, CCM ni habari nyingine; ndiyo dola yenyewe! Unamfahamu mwenyekiti wa CCM hasa ni nani? unamfananisha na nani, kwa mfano. Lissu? Rungwe? ... Unaipiga spana dola? Unapiga spana kifaru cha jeshi? Unaipiga spana BOT? Uliona wapi? Eti CCM bila polisi ni wepesi kama pamba, really? Unafahamu IGP ni nani?
Pateni picha yenyewe basi. Tumieni hata AI. Unapokutana na IGP, CDF, na wenzao basi muone Mwenyekiti wa CCM katika yale magwanda. Vivyo hivyo, spika, jaji mkuu. Mchomeke mwenyekiti yule katika yale majoho. Halafu jiulize ukilumbana na watu hao kwenye majukwaa ya siasa mtakuwa mnaongea lugha gani?
Umeongea sahihi kabisa.CCM ni CCP ya China iliyokosa akili ya maendeleo.
Hata mauaji ya kutisha mwaka jana CCP ilifanya hivyo 1989 huko ya mtindo ule ule wanafunzi mostly vijana walimiminiwa njugu na jeshi kama hapa tu bongo mwaka jana.
Ukisikia the party leads all hiyo ndio CCP China ndio kama tu hapa CCM bongo
Hivi vyama havitoki madarakani kwa njia nyepesi tu uzuri wa wale wachina wana akili ya maendeleo tofauti na kwetu huku na CCM yetu.
Lakini hawafikii hata punje ya nguvu za uchawi na za Waganga wa Farao.bila kusahau mizizi iliyojichimbia UPANDE WA KIROHO mazindiko matambiko makafara,bila kusahau historia ya kuwasha na kukimbiza mwenge ,bila kuwasahau wazee wa daresalam akina she yahya n.k