Nimeota hivi ndoto hii ina maana gani

Nimeota hivi ndoto hii ina maana gani

Hiyo ni roho ya kizuizi inakufuatilia ili usiolewe, ingia kwenye maombo na uikatae hiyo roho kwenye ulimwengu wa roho, usidharau itakuja kukusumbua baadaye if you don't do so amini kwamba.

NB:mimi kila siku huwa naota nipo primary na nilisha graduate university Toka 2014 kiukweli hakuna kitu kinaenda kwenye maisha yangu mpaka natamani kujitoa uhai ,hizi roho zipo ie spirit of hindrance, backwardness, delay mk.
Sawa
 
Nakazia
Swala la ndoa sahau mkuu
Hapo kuna mchezo mchafu unachezewa
 
Kama una mchumba, basi uchumba wenu si muda utakufa.
 
Fanya maombi sana pata msaada wa mhudumu makanisa ya kiroho. Mahusiano Yako yanaweza kuwa hayatengamai ukijitahid kuyaweka sawa Ili mfike lengo yatakua yanaharibika.
 
Back
Top Bottom