Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Ndoto izo nyingi hua ni jini mahaba ila mda mwingine pia hua ni bahatiNimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka.
Naitafuta naipata navaa tena.
Nikijisahau inavulika inadondoka.
Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
kma jini limefeli kukudhuru
na kma bahati utaikosa
au inaweza kuja bahati ila kwa kuchelewa pana tafsir nyingi ila hizo ndio kuu
sio uongo ni ukweli nakwambia