Nimeota hivi ndoto hii ina maana gani

Nimeota hivi ndoto hii ina maana gani

Fanya maombi sana pata msaada wa mhudumu makanisa ya kiroho. Mahusiano Yako yanaweza kuwa hayatengamai ukijitahid kuyaweka sawa Ili mfike lengo yatakua yanaharibika.
Samahani ndugu maliyamtu , makanisa ya kirohoni yapi na makanisa yasiyo ya kiroho ni yapi!!??
 
Kuna ndoto za kibinadamu
Kuna ndoto za kimungu na
Kuna ndoto za kishetani.

Kwa wadada kuota ndoto zibazohusiana na uchumba na hharusi mara nyingi ni ndoto za kibinadamu kwani ndilo jambo ambalo mnalitazamia kuliko hata kuja kwa Yesu
Hii comment ndiyo jibu la swali la mleta uzi.
 
Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.

Ila kama hainitoshi, inadondoka.

Naitafuta naipata navaa tena.

Nikijisahau inavulika inadondoka.

Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
Mwombe Yesu Kristo akupe jibu sahihi.
 
Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.

Ila kama hainitoshi, inadondoka.

Naitafuta naipata navaa tena.

Nikijisahau inavulika inadondoka.

Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
Ukiona umefika mwezi wa 9 bila mchumba wako kueleweka au kuwa na direction yoyote ile ya ndoa/mahusiano utanicheki PM
 
Kwa mujibu wa biblia ndoto zipo za aina 3
1: ndoto za ki MUNGU
2: ndoto za kishetani
3: ndoto zitokanazo na mawazo yetu ya kila siku

✅️Hiyo ni ndoto inayo tokana na mawazo yako

USHAURI:
Uchumba wako una vita vya kiroho MUNGU kuna jambo anataka kusema na wewe jitahidi kuwa mtu wa maombi huo uchumba uwe na malengo tofauti na hapo ... omba kusudi la hiyo uchumba kwa MUNGU
 
Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.

Ila kama hainitoshi, inadondoka.

Naitafuta naipata navaa tena.

Nikijisahau inavulika inadondoka.

Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
Ina elekea uko au utakuwa na uhusiano wa kulazimisha na mwishowe utaachwa.
Inaweza kuwa kazi au jambo lolote ambalo unaamini umefika kumbe mwisho ni mbaya.
 
Mikakati haijulikani
Nikupe ushauri.
Nenda kwa huyo mchumba ukiwa na machi makavu...mwambie kuna nabii amenipa unabii kuwa unanidanganya huna mpango wa kunioa...
Ukiona ameshtuka ujue hakuna uchumba hapo😅😅😅
 
Kwa mujibu wa biblia ndoto zipo za aina 3
1: ndoto za ki MUNGU
2: ndoto za kishetani
3: ndoto zitokanazo na mawazo yetu ya kila siku

✅️Hiyo ni ndoto inayo tokana na mawazo yako

USHAURI:
Uchumba wako una vita vya kiroho MUNGU kuna jambo anataka kusema na wewe jitahidi kuwa mtu wa maombi huo uchumba uwe na malengo tofauti na hapo ... omba kusudi la hiyo uchumba kwa MUNGU
Mkuu kwa kifupi huyo mchumba hata muoa na ipo siku huyu binti atakiri hapa
 
Hata ukiolewa utaachika, kuna kitu hakipo sawa, uliza kwa mama yako mzazi au mtu wa karibu yake ili mtengeneze mapema
 
😄😄😄Ni sawa kusema ulikuwa unaota unaogelea wakati hujui kuogelea that means utakuwa umezama.
 
Kwa stori za watu wengi nilizowahi kusikia juu ya ndoto za aina hii (na kama ni kweli)
Kuna uwezekano umechumbiwa /kuolewa na jini tayar.
Kama ni wa imani shika imani yako usali sana na kama ni njia ya kushoto basi ipambanie
Huyo jini alitumia vigezo gani kumchagua mleta mada??
 
Back
Top Bottom