Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Anayekuvalisha Pete hiyo unamjua?? Je ni mchumba wako??Nimeota nimevalishwa pete ya uchumba.
Ila kama hainitoshi, inadondoka.
Naitafuta naipata navaa tena.
Nikijisahau inavulika inadondoka.
Naanza kujiuliza mchumba wangu akiniona sina atanichukuliaje.
1. Kama ni mchumba wako sali sana kemea na kataa roho inayozuia baraka zako kupitia ndoa.
2. Kama sio mchumba wako sali sana maana huyo ni spiritual husband ambaye atasababisha usiolewe kwenye ulimwengu huu wa kawaida maana ni kama unakuwa mke wa mtu tayari kwenye ulimwengu wa roho.
All in all sali sana muda wote ili uweze kupata ulinzi wa ki-Mungu muda wote.